Si kweli kuwa wasomi wengi wamekata tamaa, kwa sasa wanajaribu kutafuta namna nyingine ya kuitoa ccm madarakani hata ikiwezekana ku-plant watu ndani ya ccm. Kitu kimoja kinafurahisha ni kuwa Kikwete ataivunja ccm kutokea ndani.
Ukisoma ile post yangu ya Kikwete kuwa zawadi ya wapinzani ni kuwa Kikwete amedhihirisha wazi kuwa hajali maslahi ya wananchi na ya watanzania wengi ikiwemo wanaccm wenyewe (ukianzia na mbeya ambako ameogopa kabisa kwenda). This guy amefungwa na mafisadi kuanzia Rostam Aziz hadi Sinclair na wanaccm wengi wameanza kujua hili.
CCM itavunjika kutoka ndani na huu ni ukwel. Wasomi wengi sasa wanapanga mkakati wa nini kifanyike baada ya CCM kuporomoka maana hii inayokuja ni kali sana.
JF,
Kibaki ni jamaa yangu mda mrefu! He is really a gentleman - (Lucy yuko tofauti kidogo!)
Ni kitu gani Kibaki amewaudhi wana Kenya?
Mimi nashindwa kuelewa - je Raila ni jawabu la maisha mema kwa Wakenya? Kumbuka issue ya Chiluba Zambia na Bakili Muluzi Malawi!
We do not have a guarantee that Raila Is any better!
Ni kitu gani Kibaki amewakosea Wakenya? Kama ni Lucy mimi naomba mumsamehe tu Mzee- he is real a gentleman!
Heshima mbele JF!
CCM itavunjika kutoka ndani na huu ni ukweli. Wasomi wengi sasa wanapanga mkakati wa nini kifanyike baada ya CCM kuporomoka maana hii inayokuja ni kali sana.
SUMMARISED REASONS NZITO WHY THIS GENTLEMAN KIBAKI HAD TO GO.
1. KUKATAA KUPIGANA NA CORRUPTION NDAN YA SERIKALI YAKE HATA BAADA YA DIREKTA WA ANTI-CORRUPTION ALIYETOROKEA UINGEREZA KWA KUHOFIA MAISHA YAKE, JOHN GITHONGO KUTOA WAZI RIPTI ILIYOONYESHA MAWAZIRI WAKUTOKA HUKO KWAO CENTRAL PROVINCE WALIKUWA WANAIBA MABILLIONI YA DOLA KAMA NYAKATI ZA MOI TU. MTAJIONEA WENYEWE VILE RAILA ATAPAMBANA NA HAWA MAFISADI WA JADI NA HIVI MAJUZI.
2. KUKATA KATIBA MPYA AMBAYO WAKENYA WALIITAKA INAYOSEMA WAKENYA WANATAKA FEDERAL SYSTEM OF GOVERNMENT AU DEVOLUTION OF POWER TO THE GRASS ROOTS. KENYANS WAMECHOKA NA SYSTEM YA MKOLONI ILIYOPO BADO MPAKA SASA KIKATIBA KENYA.
3. KUWAFUKUZA VIGOGO WA MAENEO/MAKABILA ZINGINE MBALI MMBALI TOKA KOTE NCHINI NA KUJISARAUNDI NA KABILA YAKE YA WAKIKUYU NA KUANDIKA WATU WA JAMII YAKE KWA 67% OF THE GOVERNMENT POSTS AU CIVIL SERVICE. MWENYEWE KAWAPTIA CHANCE NZURI AU MDA MWEMA WAFANYE KAMPEIN KABISA.
4. KUKOSA KUZURU NCHI MARA KWA MARA AJUE WANANCHI WANATAKA NINI HASA. YEYE KAISHI STATE HOUSE AKIJIDANGANYA ATI UCHUMI UKIMEA BASI WANANCHI WATAMPA KURA. BASI KINA RAILA WAKAMTANGULIA.
5. KENYANS WAMECHOKA NA UKABILA WA WAKIKUYU DHIDI YA MAKABILA MENGINE. KIBAKI IS A CASULATY OF THIS NATIONAL ATTITUDE THAT HAS UNITED ALL THE OTHER MAJOR TRIBES AGAINST THEM. NDIO MAANA RAILA AMESEMA LAZIMA TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION ITAUNDWA WATU WAWEKE NYOYO ZAO WAZI.
KWA MENGI: SOMA MADA ZANGU NILIZOWAKILISHA HAPA KWA MIEZI MIWILI ZILIZOPITA. NI NDEFU ZINGINE LAKINI NI ZA HAKIKA.
Kibaki hajafanya makosa sana ila tatizo pia ni umri wake - mzee ana miaka 76 sana unataka afie ikulu kama Kenyata? Hayo ya kuwa kenya itakuwa kama zambia na malawi ni propaganda za ccm na toa kabisa hapa propaganda na ushindwe ukilegea kabisaaaaaaa!
wapinzani wanaweza kuchukua na wakafanya vizuri na kama ikitokea wameshindwa hiyo ni exceptional. Cha muhimu ni kuwa Kibaki anaenda nursing home sasa, ccm ya kenya- KANU imekufa kwani hadi watoto wa moi wamepigwa chini, baadaye tuhamie Uganda tumtoe M7 na kumalizia na mafisadi waliokubuhu wa kibuzwagi - ccm ya mkwere AKA vasco da gama AKA Kikwete na Kigunge
Thanks buddy; can you also give us sumarisd reasons why you think Raila or any of the other candidates will do better?
MWK,
Hili liko wazi,,, tunatafuta tu mtabiri tu wa kusema ni lini hasa hili litatokea? kwa kuwa hakuna uwezekano wa CCM kutoka madarakani kama sio kwa njia ya kupasuka vipande... Nyerere alisema, na kila mtu anajua hili... utakuwa umetoa news,,, kama utasema exactly lini?
Sasa hivi kila mwanasiasa as mwanasiasa anaye-pratice siasa ni either yuko CCM au upinzani, lakini as you know wanasiasa wengi wako CCM... kwa hiyo Upinzani lazima uvune kutoka CCM ili upinzani kushinda!!!
Mbinu ni rahisi sana,,, kuwa na chama makini, chenye Dira, high level of Integrity, sustainable strategy! stable institution... then wanaCCM waliochoka watadandia tu!!! kwa sasa ni kupanga safu ya kupata Ubunge, I assure you majimbo marahisi ni ya mjini kama mkiweka watu wazuri na wajiandae mapema.... sio kusubiri 2009/10 ndio eti mnatafuta Mnyika,,, mnaanza kuulizana hivi mnyika umemaliza ile Master yako ati?
CCM itapasuka vipande....
Even the sun will be extinguished due to pure entropy and lack of fuel to support the nuclear fusion - 10 billion years from now or so- .
Tuambie kuna mkakati gani wa kuiondoa CCM kesho 2010?
JF,
Kibaki ni jamaa yangu mda mrefu! He is really a gentleman - (Lucy yuko tofauti kidogo!)
Ni kitu gani Kibaki amewaudhi wana Kenya?
Mimi nashindwa kuelewa - je Raila ni jawabu la maisha mema kwa Wakenya? Kumbuka issue ya Chiluba Zambia na Bakili Muluzi Malawi!
We do not have a guarantee that Raila Is any better!
Ni kitu gani Kibaki amewakosea Wakenya? Kama ni Lucy mimi naomba mumsamehe tu Mzee- he is real a gentleman!
Heshima mbele JF!
Thanks buddy; can you also give us sumarisd reasons why you think Raila or any of the other candidates will do better?
Asisahau huyo mkuu kwamba Kibaki pia alikuwa Opposition. Kaingia Serikalini kama Chifu wa Opposition. Sasa kama alileta maendeleo basi ndio Raila ataleta zaidi. wwww.raila07.com. Soma manifesto ya ODM kwa makini hapo. Ni ndefu lakini soma na utapata the agenda for change ambao ODM wako nayo. Tuombe uhai na tutajionea nalosema ni la hakika. ODM is not just about the generational revolution alone. ODM sasa ndio imejumulisha mateknokrats, wasomi, watafiti ( akiwemo yule aliyepata umaarufu kuzindua dawa ya kupunga AIDS KEMRON) aitwaye Davy Koech. Sasa PNU ilishindwa kazi jili haikuwa chama ilikuwa muungano wa vyama. Raila kaona hili mapema na akasistiza wote wanaotaka tiketi ya ODM lazima wahame toka chama walipo. Ngilu pekee ndiye alikubaliwa kubaki huko NARC ili amnyime Rais Kibaki nafasi ya kugombea kwa tikiti ya chama hicho huku mda ukididimia hadi Rais akafomu PNU ambayo imemletea aibu tupu.
The Forces of change that started with Raila's father marehemu Jaramogi Oginga Odinga kwa kuopposs sera mbovu na ukabila wa Kenyatta baba wa taifa leo zimeibuka na ushindi. Raila and the mainstream of his think tank, most who come from the Luo community, ni continuation ya kazi aliyoanza babake miaka ya sitini.
The man Raila Odinga is cut for big things na hata maadui zake wanakubali hiyo. Ndio maana kapata sapot toka kwa ANC na kwa akina Fidel Castro, Mumar Gadafi, German, India, South Korea, Nigeria na kwingineko ndani ya kikapu lake la campaign. The forces of neoliberalism and its elitist politics za kila kitu Nairobi have been checked today by the forces of Social Democracy that seek to instal the mwananchi au tumuitavyo huku "wanjiku" as the centre of political power.
What is happening in Kenya is a culmination of the search for political alternatives towards the Kenyan future started by people like Odinga's father, JM Kariuki, Raila, akina Matiba na wengine wengi tuu.
ushindi wa Raila is a victory of the African people against the Big Man and One Party Tyranny or hostage of watu kama akina Kibaki na vyama kama PNU/KANU. It is a major vitory for Democracy in Africa and a statement to the rest of the regimes in EAC and elsewhere on the force of the vote, especially when it is united by a good coalition that is tranethnic, inter-regional and inclusive
LONG LIVE ODM, LONG LIVE RAILA AND LONG LIVE THE AFRICAN VOTER!
JF,
Kibaki ni jamaa yangu mda mrefu! He is really a gentleman - (Lucy yuko tofauti kidogo!)
Ni kitu gani Kibaki amewaudhi wana Kenya?
Mimi nashindwa kuelewa - je Raila ni jawabu la maisha mema kwa Wakenya? Kumbuka issue ya Chiluba Zambia na Bakili Muluzi Malawi!
We do not have a guarantee that Raila Is any better!
Ni kitu gani Kibaki amewakosea Wakenya? Kama ni Lucy mimi naomba mumsamehe tu Mzee- he is real a gentleman!
Heshima mbele JF!
Sina chuki na Raila lakini kwa maono yangu wakenya wangempa Kibaki muda wa kumalizia yale mema aliyoanzisha...ukiacha shida ya mkewe na ubinadamu ambao hata Raila na wenzie wanao, Kibaki ame-prove kuwa Kenya can do it katika uchumi
Raila amekosoa mengi ya Kibaki lakini naye si malaika, akiingia madarakani tu utasikia kelele dhidi yake; inabidi tufike mahali tukubali kuwa zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Angalia Tz tulivyomchukia Ben; ametoka tu tumeanza kumkumbuka; na ukweli ni kwamba wizi/ubadhirifu or not, serikali ya Ben ilifanya mengi kiuchumi... kubadili raisi every other term will cost the country a lot, huyo Raila mpaka amalize kulipa fadhila kama Jk wakenya watakuwa wameshamuona raisi mwingine ndo atawafaa..lets not change presidents, rather, lets try to change our mentality and attitudes..by shaping them once they are up there...viongozi wetu wajue kuwa wananchi wako makini kufuatilia utendaji wao, otherwise tutauana wenyewe kwenye chaguzi kila baada ya miaka mitano/mitatu etc
Mzee hii hotuba inawafaa watz, sio kwa wakenya. Kwa wakenya hizo ni ngonjera and I dont think if Kenya can take a lecture on democracy from a Tanzanian, I doubt it very much. Kosa tulilofanya na ambalo tunaendelea kulifanya ni kufikiri tutaleta mabadiliko kwa kubadilisha matawi (Mwinyi then Ben then JK), tunahitaji kung'oa mti (CCM). Sasa ndio maana ya demokrasia, maanake urais ni miaka 5 then tunakutathmini kama wananchi wanaona umepwaya wanakutimua, haya mambo ya kusema sio vizuri kubadilisha rais in five years, then why should we have these elections in the first place? I like your comments Mwendapole on this esteemed JF, but this one was a very bad lecture indeed!
Sina chuki na Raila lakini kwa maono yangu wakenya wangempa Kibaki muda wa kumalizia yale mema aliyoanzisha...ukiacha shida ya mkewe na ubinadamu ambao hata Raila na wenzie wanao, Kibaki ame-prove kuwa Kenya can do it katika uchumi
Raila amekosoa mengi ya Kibaki lakini naye si malaika, akiingia madarakani tu utasikia kelele dhidi yake; inabidi tufike mahali tukubali kuwa zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Angalia Tz tulivyomchukia Ben; ametoka tu tumeanza kumkumbuka; na ukweli ni kwamba wizi/ubadhirifu or not, serikali ya Ben ilifanya mengi kiuchumi... kubadili raisi every other term will cost the country a lot, huyo Raila mpaka amalize kulipa fadhila kama Jk wakenya watakuwa wameshamuona raisi mwingine ndo atawafaa..lets not change presidents, rather, lets try to change our mentality and attitudes..by shaping them once they are up there...viongozi wetu wajue kuwa wananchi wako makini kufuatilia utendaji wao, otherwise tutauana wenyewe kwenye chaguzi kila baada ya miaka mitano/mitatu etc
Yep, a bad one but you seem to get the point bro. Kwa mfano wako wa Tz, umesogeza point yangu a step further..
Kama kikomo ni miaka kumi; raisi anaingia madarakani, anaweka mikakati ya miaka kumi, halfway through anabadilishwa, unafikiri yeye kama raisi ana hasara au ni sisi walalahoi ndo tunabeba gharama za mabadiliko? hata sasa Jk anaboronga lakini bado siamini kama kumtoa baada ya term yake ya kwanza ni dawa..afterall tukimuweka mwingine naye tatatumia miaka yake mitano ya kwanza kujipanga, kununua suti mpya, kujitambulisha nje na ndani na kulipa fadhila. Tukubaliane kuwa Ben alifanya kazi katika kipindi chake cha pili, sasa tukubadili kila miaka mitano kwangu sio dawa..give em the full two terms and see, or, opt for another and spend another five years of whinning