Agao Kichore
Member
- Sep 26, 2007
- 89
- 4
Mkuu kilitime, heshima mbele mkuu, hapo unaangalia na sisi utegemezi wetu ni zaidi ya 40%, hivi kwa nini tunaendelea kukubali upuuzi kama huu, wenzetu apo, majirani zatu wamewezaje, sisi tuna laana gani?
Kalamu,
KANU ilikuwa na nguvu sana huko Kenya kabla ya kuanguka. Kuna watu kina Ken Matiba walikuwa wameshagive up baada ya kushindwa 1992 na kusema kuwa KANU haiwezi shindwa election. Suala ni maamuzi tu na hili linawezekana hata Tanzania.
Raila amepata pia msaada wa watu walioko nje ya nchi. Ninakoishi mimi marekani wakenya kibao walichanga karibu dola laki moja kumsaidia Raila ashinde. Watu wengi nje ya nchi walikuwa wamechoka na movement ya ODM ilipata nguvu sana kwa networkin hii.
Bila kutoka nje ya mada, hili hata Tanzania linawezekana na inabidi tu Tanzania tuache udini wa kudai kuwa rais ajaye lazima awe mkristo na tumchague Zitto au Lipumba au Mtikila au yeyote yule anayefaa bila kujali anatoka wapi na dini gani.
http://www.jumptv.com/en/channel/kbc/
Here is a reliable and scientific prediction of how the various ethnic groups have voted:
Candidate: Mwai Kibaki - Raila Odinga --- Kalonzo Musyoka
Kikuyu --- 2,533,000 ----- 5,000----- 2,000
Luyiah --- 300,000 - ---900,000--- 60,000
Luo--- 2,000 --- 965,000--- 1,000
Kalenjin--- 150,000--- 1,220,000 --- 5,000
Kamba-- -10,000--- 4,000-- - 910,000
Kisii- --200,000--- 310,000 ---- 2,000
Meru --- 615,000---- 2,000 --- 1,000
Other African--- 150,000--- 2,800,000 ---50,000
Non African--- 8,000--- 8,000 ---2,000
Total ----Kibaki- 3,968,000 --Raila-- 6,214,000 --Kalonzo-1,033,000
The margin of error is less than 5%. With this kind of reality, there is no way Hon. Raila Amollo Odinga can be stopped from marching to State House.
Congratulations to the people of Kenya for making their will known clearly. Now the challenge is on the New Government to fulfill their promises to the Kenyans.
Congratulations Your Excellency Raila Amolo Odinga, 4th President of the Republic of Kenya!
Kenyans in Michigan, plans are already underway for a grand celebration of this victory. Please get in touch if you do not want to miss out!!!
Email: geraldbaraza2000@yahoo.com
More Results:
Kenya: Vice President, Ministers Lose Parliamentary Seats
Results just announced on KBC-Channel I say that Raila Odinga has recaptured the Langata seat.
Former Budalangi MP Raphael Wanjala was also defeated by a Nairobi based lawyer Ababu Namwamba of ODM. Namwamba got 11012 votes against Mr Wanjala 7180 votes in an election
Friday, 28 December 2007
Update: 12:00GMT 28th December 2007
Raila Odinga has a 6.45% lead over Mwai Kibaki with 30% of the 14.2 million votes cast according to our analysis.
PRESIDENTIAL PROVISIONAL RESULTS AS AT 12.00 GMT [30% OUT OF 14.2 MILLION VOTES COUNTED]:-
RAILA ODINGA-2,585,856 (18.09%)
MWAI KIBAKI -1,663,519(11.64%)
KALONZO MUSYOKA-264,783(1.85%)
Raila is leading Kibaki by 922,337 votes.
Analysis by kenyaelections.com study group
source: http://www.kenyaelections.com/newsf....00-gmt-30-out-of-14.2-million-votes-cou.html
Now, that is part of the strategy and genius of Raila I was referring to. Hata ikibidi yeye mwenyewe kujiunga na hiyo hiyo KANU ya Moi (iliyomweka lupango); ili aimalize ndani kwa ndani!
Alipoondoka na LDP yake, the empty shell of KANU was exposed. Bila ya Raila kujiunga na NAK ya akina Kibaki na Ngilu na kuanzisha Narc; pengine Kibaki hadi leo hii u-Rais angekuwa anausikia tokea mbali kama ndoto.
All that needs capable and steady leadership.
Hiyo ni kweli ila pia lazima ukubali kuwa Raila hakufanya kazi peke yake maana Nyanza haina watu wa kutosha wa kumpa hii nguvu yote aliyokuwa nayo. The guy knows where to be and when na kwa hili nakubaliana nawe kabisa. Siri kubwa inayomsaidia Raila kukubalika hivi ni kuwa so far jamaa hana kashfa ya ufisadi kama wanaccm wetu.
Kitu kingine kilichomsaidia Raila ni kupata inside information every time kukiwa na tatizo. Kuna story nadhani K-T atasema hili pia kuwa Moi alijaribu kumuua Raila 1997 lakini Raila akapata hizo habari jikoni kabla ya mambo. Kwa sasa tayari Tanzania kuna watu wameonyesha kuwa wamechosha na kinachoendelea na wanatoa info za serikali na huu ni mwanzo mzuri wa kuiangusha CCM.
Nina uhakika kuwa siku za ccm zinahesabika na wananchi wa Tanzania hasa wale wanaotolewa kwenye maeneo yao ili makampuni ya kizungu yaibe maliasili ndio wataanzisha haya mabadiliko.
Asante
Hizi percentage za hawa jamaa mimi haziingii kichwani??
Hizi percentage za hawa jamaa mimi haziingii kichwani??
kalonzo hana kitu anabakia kulialia wakati nayeye kwake ndio ameongoza anajitetea eti na wengine wamepata kura kwao wakati anasahau kuwa hao wenzake wana uwezo kumzidi ama ni ujinga usiojiweza kutathmini.
Duh, badala ya kwenda BBC, CNN au kwenye magazeti ya Kenya yanayopatikana Online ili kupata latest info za uchaguzi wa Kenya niko hapa napata latest kutoka kwa mwanaJF mwenzetu. Ahsante sana Kenyan-Tanzanian. JF imekuwa kubwa na ya kuaminika.
Mimi kuna Wakenya kibao ambao walikuwa hawajui nini kinaendelea, nimewaambia waje hapa kufaidi JF. Magazeti yao mengi yalizidiwa wakati JF bado inatamba tu, JF ni babu kubwa!