msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
It is estimated that 40 per cent of the one million tourists visiting Tanzania annually pass through the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), earning Kenya $1.9 billion before crossing into the Tanzanian national parks.
More info read here: Dar petitions Kenya after tour operators barred from airports - Business - www.theeastafrican.co.ke
Shida yetu iko wapi? Tanzanite wanatuibia mchana kweupe, na huku kwenye utalii kumbe nako ni majanga!
Serikali inashindwa nini kuupgrade airport ya KIA na kuiamsha Air Tanzania? Ukiangalia wateja wapo. Nasikia hata maua ya Tanzania tunaexport kupitia JKIA!
SHAME ON YOU CCM!