Kenya declares war on Al Shabaab!

Poleni wakenya ila wenzetu wa maghalibi wanatuhalibia mana sisi tukipata matatizo kwao poa ila wao hata kama ni mmoja wanatunyanyasa je haki iko wapi mzungu au mwafrica.nawashauli watumie njia za kidemokrasia mana wataleta mafaa makubwa haya ya kiuchumi
 
Mogadishu - Somalia's President said on Monday that he opposed Kenya's recent military assault against southern rebel positions, saying he wanted only logistical support and training.
"Somalia's government and its people will not allow forces entering its soil without prior agreement," Sharif Sheikh Ahmedhe said.

"There is only one thing we know about the Kenyan forces, and that is their offer of training to the national army of Somalia."
- AFP

S
OURCE: Somali leader against Kenya intervention: News24: Africa: News
 
Police Alert

ALERT:


Police have issued a statement giving areas, we should avoid in Nairobi and Mombasa.

In Nairobi

Avoid Corner House, Burger Dome, Ambassadeur Hotel, Akamba Bus, Marble Arch Hotel, River Road, Bus Station and Betty’s Pub.

In Mombasa:

Be on the lookout the Mtongwe ferry and Nakumatt Nyali.

If you must be in these places, be on high alert for suspicious activity or characters.

Report anything un-toward by calling 999 or 112. The calls go directly to Vigilance House.

Listen to the radio (esp. 98.4 Capital FM Radio Jambo) for more updates as they come.
 
Ni dhahiri sasa Nairobi haikaliki kwa hofu ya mabomu. Baada ya bomu la pili kulipuka, ubalozi wa Marekani umesema unategemea mabomu zaidi kulipuliwa. Lakini mpaka sasa Al-shabab wanashukiwa kuhusika na mashambulio hayo wako kimya.
 
The mindless Kenyan leaders will unwittingly subject their state to needless Al-Shabaabs retaliation assaults. It was rather an impetuous decision to invade Somalia and launch those attacks against the insurgents in order to wipe them out.

I just came to understand that Kenya has very little military experience when it comes to inter-state battles and has never had involved in any of such fightings before. So despite being provoked, they should re-think on their current campaign in Somalia before things turn even worse against them.
 
Dah Poleni sana watani wetu..Hawa jamaa naona wamejiandaa kwa Vita. wanataka kuonyesha kuwa vita ni jadi yao. Kenya wanatakiwa waimarishe Ulinzi na mapambano dhidi ya hao wanamgambo wa kisomali otherwise watawaifanya kenya shamba la bibi
 
Nakumbuka kusikia yule kamanda wa al-shabab akisema kuwa wao vita si kupigana ana kwa ana ila ni kulipua mabomu sehemu zenye mikusanyiko ya watu na majengo mazuri, nawaonya Kenya wajiandae kwa ulinzi mkali, watawamaliza kwa mabomu, al-shabab si watu wema!!!!
 
Bila shaka hii sasa ni hatari danger kwa EAST AFRICA na bila shaka ule msemo wa Wahenga ndiyo inatunyemelea "UKIONA MWENZAKO ANANYOLEWA WEWE TIA MAJI" nasema hivyo kwa sababu hawa ndugu hapa kwetu ni pua na mdomo wajamen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Al Shabab has started treating Kenya as a hunting ground for its recruits and ransom victims not to mention what the rampant lawlessness in Somalia is costing through piracy i just hope the Kenyan Military is well prepared as Al Shabab is a very formidable enemy
 
Japo natambua wajibu wa serikali ya Kenya kuilinda sekta ya utalii iliyokuwa kwenye tishio la utekaji nyara wa Watalii, lakini naamini serikali ya Kenya ilikurupuka kuingia vitani ata kabla ya kujaribu hatua zingine za kuhakikisha usalama huo.

Al-Shababy sio tishio kwa Kenya peke yake, ni tishio kwa nchi zote za Africa Mashariki, Africa na Ulimwengu wa Magharibi kwa ujumla, hivyo uamuzi wa Kenya kwenda vitani peke yake, na hivyo kubeba gharama zote za vita hivyo haukupaswa kufanyika wakati huu ambapo uchumi wa Kenya upo kwenye hali mbaya, wakati kenya inashuhudia mlipuko mkubwa wa bei ya bidhaa muhimu, wakati thamani ya pesa imeshuka sana, haukuwa wakati sahihi kuanzisha vita visivyo na mwisho dhidi ya Al-Shababy..

Walichopaswa kufanya kwa sasa ni kuongeza ulinzi wa mipaka yao, kuanzisha kampeni ya kuwasaka wafuasi wa al-shababy ndani ya Kenya, na kuongeza ushawishi wa kuongeza majeshi ya AU ya kuusaidia utawala wa Somalia, na kulinda usalama kwa ujumla.

Sasa wapo vitani ndani ya mipaka ya somalia kinyume cha katiba ya Kenya, vita vimetangazwa na Waziri badala ya Rais, Bunge halijahusisha kama katiba yao inavyoelekeza, wanapambana na jeshi lisilo na organization maalum,na wakati huohuo serikali inayotambulika ya Somalia inapinga uwepo wa Jeshi la Kenya ndani ya mipaka yao, nasharia kuwa pamoja na gharama kubwa ambazo Kenya itaingia, gharama kubwa zinazoweza kuwakumbumba viongozi wakuu wa Kenya kisiasa, gharama kubwa zaidi ya kiusalama ndani ya mipaka ya Kenya, siamini kama lengo lao litatimia, muda utaongea..
 
Tena hapo ingekuwa balaa zaidi, unacheja na wamasai wa kenya?
Ninachojiuliza ingalikuwa wangetekwa wakenya wazawa badala ya hao wazungu wawili au watatu serikali ya Kenya ingeingia vitani kama hivi sasa????? naombeni comments kiukweli
 
Ninachojiuliza ingalikuwa wangetekwa wakenya wazawa badala ya hao wazungu wawili au watatu serikali ya Kenya ingeingia vitani kama hivi sasa????? naombeni comments kiukweli

Hii inasikitisha sana, walishauawa Wakenya wengi tu bila serikali ya Kenya kuchukua hatua mahsusi, lakini sasa kwa sababu wametekwa "Wazungu", Kenya imelazimika kama sio kulazimishwa kuingia vitani..
 
EAC condemns Al-Shaabab attacks on Kenya

EAC-Kiraso.jpg East African Community deputy secretary-general in charge of Political Federation, Beatrice Kiraso. The EAC has condemned Al-Shabaab attacks on Kenya saying they could affect businesses in the region.
By LUCAS BARASA
Posted Tuesday, October 25 2011 at 10:43


The East African Community has condemned Al-Shabaab attacks on Kenya saying they could affect businesses in the region.

Deputy secretary general Beatrice Kiraso warned that if not dealt with the militia threats would "greatly" undermine the progress of EAC integration.

"It seems Al-Shabaab and the pirates are networking and shifting their strategy to soft targets such as kidnapping of tourists and the likes," Ms Kiraso said.

She spoke during the opening of workshop to develop a roadmap for operationalisation of the EAC Early Warning Mechanism that started Impala Hotel in Arusha on Monday and ends Tuesday.

On Monday, two blasts hit Nairobi leaving one dead and 27 injured. In both incidents, a hand grenade caused the explosion. The attack came as Kenya forces continue their onslaught to flush out Somalia militia group Al-Shabaab in the war torn country.

Ms Kiraso said the terror group criminal acts are likely to chase away business opportunities and cause potential investors to shun the region.

Daily Nation
 
Wadau...hali c hali huku.......
Baada ya Kenya kuzindu Operation ya "LINDA NCHI" inayolenga kuwadhibiti Al Shabab kutoingia Kenya na Kuondoa utekaji nyara wa watalii huko mombasa na u-pirate pia,hali imekuwa c hali....mpaka jana milipuko mitatu imetokea ndan ya nrb,maeneo ya OTC na Mfangano Street,yote ikisemekana ni kazi za AL-Shabab.

Ktk milipuko yote hiyo,amefariki mtu mmoja na majeruhi ni zaidi ya 24.
Sidhani kama tuko salama kwakweli.................................
 
Reports has it that some a few days ago the 'Al-Shaabab and Al-Shaabablets' may have held a 'Top Key' meeting in Dar es Salaam as the pursuit goes top-gear all-over alaround preferred intallations.
 
Back
Top Bottom