ngoja wapate funzo..kwani kenya ishawahi kupigana na nani?mauaji mengine haya. familia za askari wanaingia katika majonzi makubwa.
Kenyan troops off to war
The Kenya military has been ordered into action to stop al Shabaab militia from further threatening the country's security and economy.
At a press briefing on Saturday, the country's top security chiefs declared war on the terrorist organisation operating from Somalia and said Kenyan security forces will henceforth pursue the aggressors across the border.
mauaji mengine haya. familia za askari wanaingia katika majonzi makubwa.
AL SHABAB hawana jeshi, hivyo hawana sare zinazowatambulisha. Wanaweza kuingia mahali popote pale kama watu hawakuwa makini.
kwa mawazo yangu, KENYA hakusitahili kutangaza vita, bali wangetangaza oparation na wasingevaa mgwanda kama hayo. huwezi kuvaa magwanda, ukapigana na mtu ambaye hana magwanda, atakumaliza.
Nawafagilia Kenya kuwateketeza hawa Al Shabab, piga risasi kila mmoja wao na waishe na ikiwezekana Kenya waikalie Somalia iwe part of Kenya permanently.