Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,685
- 3,429
HAHAHA, you wishIncluding Physicists from the University of Dar es salam.
HAHAHA, you wish
Wacha mbio jipeni mda mkuze elimu yenyu kwa sahi hakuna mtu anatambua masomo ya Tanzania. Dunia inajua bado mko chini sana kielimu hata Uganda inawashinda kwa elimu.Including Physicists from the University of Dar es salam.
Maumivu ya kujua hakuna mtu anawatambua kimasomo. Pona hivi karibuni, na ikizidi kamuone daktari.The Kenyans physicists in the program will serve as ceremonials. π€£
Masomo yenyu ya university ndiyo kama high school hapa Kenya.
Maumivu ya kujua hakuna mtu anawatambua kimasomo. Pona hivi karibuni, na ikizidi kamuone daktari.
HAHAHA, Naona sasa umeanza kuingia wasi wasi. Usijali tunajenga University mpya Inaitwa Kaist (Konza institute of advanced science) ambayo inajengwa na south Korea iwe kama Kaist huko south korea.Toa mfano mmoja wa topic moja tu ya Physics katika chuo au high school ya huko kenya ili nikubali usemacho.
Wakenya ni watu wa kujituma ndiyo sababu wamejumuishwa na watu werevu, nyinyi ni wavivu na miaka mingi ya kula mihogo na maharage pekee imewafanya akili zenyu hazikuwi vizuri.Ni ugunduzi gani wa kisayansi hao physicists wenu wameufanya kiasi kwamba waweze kuwa na hadhi (credentials) za kujumuishwa katika hiyo space program ya Wachina??.
elimu ipi wakati wakenya wengi hawajui kusoma wala kuandika? π π π πWacha mbio jipeni mda mkuze elimu yenyu kwa sahi hakuna mtu anatambua masomo ya Tanzania. Dunia inajua bado mko chini sana kielimu hata Uganda inawashinda kwa elimu.
Masomo yenyu ni sarakasi za tom and jerry.
Two Ugandans named among Africaβs best scientists
Fungua hiyo link uone kama kuna mtanzania hata mmoja. Uganda wako na wawili, Kenya iko na watat,u Tanzania hakuna hata mmoja. Masomo yenyu ya university ndiyo kama high school hapa Kenya.
Maumivu ya kujua hakuna mtu anawatambua kimasomo. Pona hivi karibuni, na ikizidi kamuone daktari.
Space ya njaa? π π π πWakenya ni watu wa kujituma ndiyo sababu wamejumuishwa na watu werevu, nyinyi ni wavivu na miaka mingi ya kula mihogo na maharage pekee imewafanya akili zenyu hazikuwi vizuri.
Tulianza kufanya utafiti ya space kuanzia 1962 nyinyi mpaka sahi bado mnafikiria mahindi na maharage tu!!.
Wewe hapa juzi uishindwa na hesabu ya mtoto wa class 4, Hauna aibu hata kujionesha kwa huu uzi.Space ya njaa? π π π π View attachment 1583784
Jibu gani wakati unahitaji lishe ya dharura? π π π πWewe hapa juzi uishindwa na hesabu ya mtoto wa class 4, Hauna aibu hata kujionesha kwa huu uzi.
Kwanza nipe jibu ya ile swali yangu kabla tuendelee.
Ndiyo vyuo vyenyu vimeshidwa na Uganda na hivi karibuni Rwanda inakuja kuwapita kimasomo.Sisi hatusubiri watu wa nje watujue "ceremonially" ila tunajijua wenyewe kwa faida yetu.
Jibu gani wakati unahitaji lishe ya dharura? π π π π View attachment 1583786
HAHAHA, Kawaida mtanzania akishindwa hukimbilia mlo.Jibu gani wakati unahitaji lishe ya dharura? π π π π View attachment 1583786
Tulianza kufanya utafiti ya space kuanzia 1962 nyinyi mpaka sahi bado mnafikiria mahindi na maharage tu!!
Ndiyo vyuo vyenyu vimeshidwa na Uganda na hivi karibuni Rwanda inakuja kuwapita kimasomo.