chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,439
- 1,734
Huyu jamaa anaogopa kurudishwa ICC, kama sio hivyo pangechimbika huko.Angesema tu naheshimu Mahakama, neno sikubali lina shaka, kama alishinda kweli wasiwasi wa nini? Aingie tena uwanja wa mapambano haki itapatikana. Vipi hii kauli (Kwa kuwa sisi ni wapenda amani vinginevyo) sijui kama nimenukuu vizuri. Amani kwenu, sote ni wamoja
Sent using Jamii Forums mobile app