Kenya became the first nation to win the AFCON Under 16 Competition

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,410
Kenya became the first nation to win the inaugural AFCON Under 16 Competition on Saturday after beating Nigeria 3-2 in post-match penalties.

The final tally was 0-0 and the game was forced into post-match penalties.

The match took place at the Afraha Stadium in Nakuru.

Jacob Onyango was awarded the Golden Boot after netting five goals in The AFCON U16 tournament.

Kenya took the Golden Boot and Gloves, while Nigeria got the Best Player slot.

Kenya defeat Nigeria in post-match penalties to become first COPA Africa champions
 
Hawa vijana watakuwa the next African Champions in the senior AFCON Tournaments.
 
Kenya became the first nation to win the inaugural AFCON Under 16 Competition on Saturday after beating Nigeria 3-2 in post-match penalties.

The final tally was 0-0 and the game was forced into post-match penalties.

The match took place at the Afraha Stadium in Nakuru.

Jacob Onyango was awarded the Golden Boot after netting five goals in The AFCON U16 tournament.

Kenya took the Golden Boot and Gloves, while Nigeria got the Best Player slot.

Kenya defeat Nigeria in post-match penalties to become first COPA Africa champions
HONGERA kwa Kenya.
 
Hamna AFCON ya U16, kama jina unavyo liona ni copa coca cola, hayo mashindano ata mimi nilicheza nikiwa UG, yalianza south america na kusambaa duniani kote chini ya udhamini wa coca, yaki husisha vijana wa shuleni. Tz yalichelewa sana kuingia tofauti na Ug ambapo mimi nilichezea huko, ni mashindano ambayo yameisaidia sana UG ilikua kama kombe la dunia, kina Obua, Okwi wote wamekipiga huko. This time wamechukua mabingwa wa nchi chache ambapo hayo mashindano yana chezwa na kukutanishwa hapo Kenya na kuyaita copa coca cola african cup of nations ila officialy hayaja andaliwa na CAF. Kama yangekuwa ni AFCON nchi zote zingepewa fursa kushindana ku qualify na siyo kigezo cha presence ya coca. Ila hongereni mpira unabidi uanze kwenye grassroots, UG siyo kwamba wana talent kuliko Kenya na TZ ila wamewahi kuwekeza kwa vijana, wana shule zao za seco zina viwanja mpaka vi nne vya football.
 
Ukisema hivyo mbona mashule za Kenya hudominate Kwa East Africa Games especially football,?
 
what football are you referring here?
Kadanda yani ule mchezo nyinyi ni washiriki tu ila kushinda ni hadithi za abunuasi kwenu. Mchezo ambao mngeweza kushindana kila maana ni umbea tu hapo hamna wapinzani.
 
Ukisema hivyo mbona mashule za Kenya hudominate Kwa East Africa Games especially football,?
Zime anza lini!? Kipindi mimi nasoma nakumbuka Laizer Hill (shule aliyosoma Hasheem aliye enda NBA) ndiyo ilikua ina dominate kwenye basketball.. ila kwenye footie ilikua ni Makongo ya Tz na St Marys ya UG. Hizi ni facts, ila kama mna dominate sasa hivi ni vizuri na hongereni sana. Ingawa najua Alliance school ya Mwanza inafanya vizuri sana, Mabingwa wa U17 wa Cecafa ni Tz na leo U17 ya Tz imeingia fainali za U17 za Cosafa inacheza na Angola. Hao U17 wa Tz wame kuzwa na Alliance ya Mwanza, next year wana cheza Afcon. Unaeza google uone hiyo shule inavyo dominate mashindano ya E.A. To me grassroot ni sehemu ya ku develop siyo kushindana sana. Ata hapa sina lengo la kushindana so sitaki zile ligi za kubishana. Huwa nafurahi kuona vijana wanakuzwa vizuri kimichezo.
 
Kenya became the first nation to win the inaugural AFCON Under 16 Competition on Saturday after beating Nigeria 3-2 in post-match penalties.

The final tally was 0-0 and the game was forced into post-match penalties.

The match took place at the Afraha Stadium in Nakuru.

Jacob Onyango was awarded the Golden Boot after netting five goals in The AFCON U16 tournament.

Kenya took the Golden Boot and Gloves, while Nigeria got the Best Player slot.

Kenya defeat Nigeria in post-match penalties to become first COPA Africa champions
Tanzania U17 tittle list.
* Cecafa champions (2017)
* Cosafa champions (2018)

Next year (2019)
* AFCON, hapa lazima tuichukue then automaticaly tunaingia worldcup.

Achana na mashindano ya mashule
 
Zime anza lini!? Kipindi mimi nasoma nakumbuka Laizer Hill (shule aliyosoma Hasheem aliye enda NBA) ndiyo ilikua ina dominate kwenye basketball.. ila kwenye footie ilikua ni Makongo ya Tz na St Marys ya UG. Hizi ni facts, ila kama mna dominate sasa hivi ni vizuri na hongereni sana. Ingawa najua Alliance school ya Mwanza inafanya vizuri sana, Mabingwa wa U17 wa Cecafa ni Tz na leo U17 ya Tz imeingia fainali za U17 za Cosafa inacheza na Angola. Hao U17 wa Tz wame kuzwa na Alliance ya Mwanza, next year wana cheza Afcon. Unaeza google uone hiyo shule inavyo dominate mashindano ya E.A. To me grassroot ni sehemu ya ku develop siyo kushindana sana. Ata hapa sina lengo la kushindana so sitaki zile ligi za kubishana. Huwa nafurahi kuona vijana wanakuzwa vizuri kimichezo.
Kenyan schools dominate kwote....football kidogo ndio kidogo ugan
Tanzania U17 tittle list.
* Cecafa champions (2017)
* Cosafa champions (2018)

Next year (2019)
* AFCON, hapa lazima tuichukue then automaticaly tunaingia worldcup.

Achana na mashindano ya mashule
Mashule ndio hutuletea top talents if not sahii rugby,volleyball,athletics,na swimming zingekuwa DUNI kama huko Tanzania.
Pia football
 
Kenyan schools dominate kwote....football kidogo ndio kidogo ugan
Mashule ndio hutuletea top talents if not sahii rugby,volleyball,athletics,na swimming zingekuwa DUNI kama huko Tanzania.
Pia football
Kenya lini mlikua juu kwenye football..
 
Ranking zinaonyesha Kenya iko juu yenu Kwa football but kwa standard level bado sote tuko chini.
 
Back
Top Bottom