Kenya Army Demistfied | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Army Demistfied

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by kayundi2, Jul 29, 2011.

1. k

kayundi2 JF-Expert Member

#1
Jul 29, 2011
Joined: Feb 2, 2009
Messages: 213
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
2. The Quonquerer

The Quonquerer JF-Expert Member

#2
Jul 29, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 781
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Mbona Al Shabab inawasumbua kila siku. Hiyo tulifanya tukiwa national service...JKT! Jeshi lenu sawa na JKT ya Tanzania!

3. Sijali

Sijali JF-Expert Member

#3
Jul 29, 2011
Joined: Sep 30, 2010
Messages: 2,054
Likes Received: 404
Trophy Points: 180
Acha unazi usio na maana: jeshi linapimwa kwa vifaa, training na mazingira wanayoishi wanajeshi. Utakuta kuna uhusiano mkubwa kati ya nguvu za jeshi na uchumi wa nchi- angalau katika mifano michache ya udikteta ambapo kiongozi yuko radhi nchi nzima ife njaa ili jeshi tu lipate kila kitu (kama ilivyokuwa Ethiopia ya Mengistu).
Ukweli : kwa vifaa jeshi la Kenya lina vifaa vya kisasa na mbali mbali zaidi ya jeshi lako (Mna ndege ngapi ya Mig 17 siku hizi?) Maisha ya wanajeshi? Hapa napenda maoni zaidi ya wana JF. Unless wasema kama vita ikizuka uko tayari kupigana kwa uta!

4. Kibona

Kibona JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Sep 16, 2010
Messages: 1,021
Likes Received: 13
Trophy Points: 135

Hata Idi Amin alikuwa na vifaa zaidi ya Tanzania lkn matokeo unayafahamu. Halafu hii thread iondolewe maana mjadala unaoelekea kulinganisha jeshi la kenya na Tanzania ni matusi kwa Tanzania. Haiwezekani JWTZ ilinganishwe na jeshi ambalo linasumbuliwa hata na mungiki. Kwa taarifa tu ni kuwa kwa tabia za wakenya zilivyo kama jeshi lao lingekuwa na uwezo wa kiwango hata cha Uganda wangeanzisha vita dhidi ya Tanzania ili kupokonya Mlima kilimanjaro, lkn sasa wanaogopa kupigwa maana wanajua tofauti kati ya JWTZ na jeshi lao.

5. Viper

Viper JF-Expert Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
wivu.. ni kweli jeshi la kenya lina vifaa vizuri sana.. bajeti yao katika jeshi huwezi kulinganisha na yetu!

6. Bantugbro

Bantugbro JF-Expert Member

#6
Aug 3, 2011
Joined: Feb 22, 2009
Messages: 2,682
Likes Received: 128
Trophy Points: 160
So what?

7. simplemind

simplemind JF-Expert Member

#7
Aug 3, 2011
Joined: Apr 10, 2009
Messages: 11,800
Likes Received: 2,571
Trophy Points: 280
Jeshi la Kenya pia ni Professional na la muhimu zaidi depoliticized.

8. Mtazamaji

Mtazamaji JF-Expert Member

#8
Aug 3, 2011
Joined: Feb 29, 2008
Messages: 5,972
Likes Received: 33
Trophy Points: 0
Katik karne hii tunachtakiwa kukipa Priority ni Polisi na sio Jeshi.

9. Kibona

Kibona JF-Expert Member

#9
Aug 3, 2011
Joined: Sep 16, 2010
Messages: 1,021
Likes Received: 13
Trophy Points: 135

Wewe ni kishoka nini! kama jeshi la kenya lingekuwa depoliticized kibaki angekuwa rais kipindi hiki?

10. Kibona

Kibona JF-Expert Member

#10
Aug 3, 2011
Joined: Sep 16, 2010
Messages: 1,021
Likes Received: 13
Trophy Points: 135

Siwezi nikawaonea wivu Kenya kwasababu hakuna walichokifanya ktk masuala ya kijeshi. Efficiency ya jeshi ni mafanikio ktk operation zake. sasa naomba nitajie operation hata tatu ambazo jeshi la kenya limefanya kwa mafanikio.

11. LE GAGNANT

LE GAGNANT JF-Expert Member

#11
Aug 3, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 1,247
Likes Received: 7
Trophy Points: 135
WANA NAVY NA AIR FORCE NZURI KUTUZIDI LAKINI SI jESHI LA NCHI KAVU (ARMY). UNAJUA NAVY NA AIR FORCE YANATEGEMEA UBORA WA (MELI -MANOWARI NA NDEGE-KWELI WAMEJAALIWA) ZANA LAKINI ARMY LINATEGEMEA ZAIDI UWINGI NA UMAHIRI WA ASKARI WENYEWE AS PRACTISED.

12. LE GAGNANT

LE GAGNANT JF-Expert Member

#12
Aug 3, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 1,247
Likes Received: 7
Trophy Points: 135
Hapa kenya kuna battalions mbili za uk kwaajili ya kutoa mafunzo na misaada kwa jeshi la hapa kenya, tz wamejaa wachina

13. simplemind

simplemind JF-Expert Member

#13
Aug 3, 2011
Joined: Apr 10, 2009
Messages: 11,800
Likes Received: 2,571
Trophy Points: 280

Kaka give credit where credit is due.Kibaki amepata urais kutoka upinzani baada ya kumshinda baba Moi,Jeshi hawamwekea kauzibe. Hata uchaguzi uliopita jeshi kwa kiwango kikubwa walikuwa neutral,Polisi ndio walotumiwa kutuliza vurugu hata kupelekea mkuu wa jeshi la polisi kufishwa the Hague kujibu tuhuma za uvunjifu wa haki za binadamu. Hapa, wakuu wetu wapo on record kwa kusema hawawezi kutambua ushindi wa upinzani iwapo watashinda. Mambo ya ajabu kweli enzi za multi party politics.

14. k

kayundi2 JF-Expert Member

#14
Aug 4, 2011
Joined: Feb 2, 2009
Messages: 213
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
And when they are in barracks
[video=youtube_share;B4fHUxo21nk]http://youtu.be/B4fHUxo21nk[/video]

15. eliakeem

eliakeem JF-Expert Member

#15
Aug 4, 2011
Joined: May 29, 2009
Messages: 2,896
Likes Received: 1,002
Trophy Points: 280
Mkenya wa kawaida anayeishi Gologocho ananufaikaje na bajeti kubwa ya jeshi la nchi yake.......does it add the food on table?

16. k

kajembe JF-Expert Member

#16
Aug 4, 2011
Joined: Nov 8, 2010
Messages: 755
Likes Received: 51
Trophy Points: 45
Hawana kitu kenya maneno tu, M7 aliwadhibiti kisiwa cha Migingo wao si matajiri kuliko Uganda mbona walifyata Mkia!wangejaribu wangeona cha Mtema kuni.

17. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#17
Aug 4, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
Guyz, acheni kubishana! Kama we mkenya..solve tatizo la njaa kwanza! Jeshi kitu gani! Amani kwanza! Tanzania tunacho waweza Kenya ni kuwa tupo wengi! I swear, Kenya ni vigumu sana kuwapiga watanzania kivita! Kuwa na vifaa sio kitu..hata idi amin alikuwa na jeshi kubwa na vifaa vizuri kuliko hata watanzania! Tukiongea ki ukweli bila kutetea upande wowote na kwa kutumia logic... Tutakubali kuwa kuwa na Vifaa vingi haimaanishi unaweza kujiahami..

18. V

Vonix JF-Expert Member

#18
Aug 4, 2011
Joined: Apr 23, 2011
Messages: 1,987
Likes Received: 507
Trophy Points: 280
Thread hii imekaa kimshazali sana hata kuichangia,lakini acha niseme hivi vifaa peke yake havipigani vita,na kwa hilo Idd Amini alituzi kwa mbali,kwanza alikuwa na ndege za kirusi Mig 21 an vifaru aina ya T72 kama sitakosea sisi pia tulikuwa na Mig 21 tawi la mwanza chache sana na kwa matatizo ya kiufundi hazikuruka kwa uchache ndege zilizoko ngerengere F6 ziliruka,kilichofanyika ni kupata kifaa cha kutungulia ndege tena kinachofuata moshi'' stella''hicho ndicho kilichosaidia ndege nyingi za Amini kuangushwa.Na wewe mchangiaji unaezungumzia ndege aina ya Mig17 hiyo si ya kuisifia ni ya kizamani tu kama hizo hapo juu.kitakachoshinda hapa ni moyo wa ujasiri wa jeshi la nchi kavu ambalo naamini kwa africa mashariki na kati hakuna wakutufikia.

19. MTAZAMO

MTAZAMO JF-Expert Member

#19
Aug 5, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 12,482
Likes Received: 5,557
Trophy Points: 280
kulinganisha kenya na tanzania ni sawa na USA na Israeli! Sisi hata askari magereza nchi kavu huwawezi.majeshi yote ya tz vita vya ardhini wameandaliwa vizuri.

20. Kibona

Kibona JF-Expert Member

#20
Aug 5, 2011
Joined: Sep 16, 2010
Messages: 1,021
Likes Received: 13
Trophy Points: 135
Unamaanisha nini unaposema lilikuwa neutral? Huoni kuwa hizo ni politics jeshi linawezaje kuwa neutral wakati nchi inatetereka. nijuavyo ni kuwa jeshi linatakiwa kulinda usalama wa nchi, kwa hiyo kama si politics halikutakiwa kuwa neutral lilitakiwa lidhibiti watu wote waliokuwa wanahatarisha amani ya kenya kama vile kuanzia polisi, kivuitu na kibaki mwenyewe walioamua kupika matokeo. Katika hilo la politics jeshi la kenya ni sawa na JWTZ

Loading...