Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

Sisi tupo bize na zimwi ccm.akitokea mwakyembe anaonyeshwa live Itv ameshika magunia ya mkaa reli ya tazara saa 4 usiku.alafu anamwaga mikakati kibao. nch ya maigizo chini ya mwigizaji toka kaole.mawaziri wote comed tupu. Katiba mpya comed elimu comed four ya 46.avya comed.folen ishara ya utajiri.
 
Chris Lukosi, Please be informed that Sera za CCM ndiyo inayoongoza nchi hii... Wakati mnafagilia kwa kusema Kidume CCM lazima mtambue kuwa mna maanisha kuendelea kudumisha Umasikini zaidi, Ujinga Zaidi, Ufisadi Zaidi, Na magonjwa mengi zaidi kwa jamii...
 
At least wameanza ni kweli inaumiza Chris kukosa airline yenye Nguvu ya Nchi . Naomba tuwape support na tukipende cha kwetu with Time na effort ya management na wizara wanaweza fika mbali. Bora wameanza
 
Sasa hivi naanza kuona nyuzi zako kidogo zimekua na akili, umeacha ushabiki na kuzungumza ukweli wa mambo, anyway. kwetu sisi Tanzania Siasa kwanza, uchumi baadae. Angalia chaguzi zetu, pesa hua haikosekani kabisa, njo kipindi cha bunge, pesa pia IPO tena ya kutosha kabisa, ukija suala la Uchumi kama uwekezaji mkubwa like Umeme, ATC, Kilimo n.k ndipo utakaposikia misemo kama hi, "Kasungura ketu kadogo, tugawane hivyo hivyo" Kimsingi sioni tatizo lingine hapa zaidi ya kubadiri mfumo mzima wa utawala, vinginevyo tutaendelea kupiga mark time tu. Kwanza nikukumbushe tu, hiyo ndege ya ATC hata Mwanza tu waliisha ifuta hiyo route, haipo tena. Ni mwendao wa FastJet na PRecision Air tu.
 
Ndugu zanguni,

BW LUKOZI, With all due respect i will answer you accordingly, kindly see my comments to your posting in RED:

Jana wenzetu wakenya wameshuhudia historia mpya katika sekta ya biashara ya anga nchini mwao pale Rais wao alipozindua ramsi ndege ya Boeing 787 DREAMLINER. Ndege hii ni moja kati ya ndege sita ambazo wameagiza kutoka marekani.

Wakati huo huo, Air Tanzania wamekuja kwa mbwembwe na matangazo kibao kuwa wamekodi ka ndege ka abiria hamsini ka kwenda mikoani.

Air Tanzania was never given a chance to take off from its inception by the than Govt., Building an Airline depends on the economy of a country, Kenya built its economy on tourism and on the mgongo of TZ, Since the defunct of the EAA, all the tourist trade was captured by Kenya, while Baba wa Taifa was being econimically sidelined by the west.

Tuweke siasa pembeni tuongelee uhalisia, ni kwa nini ATC wanashindwa hata kuungana ubia na mashirika makubwa ili na sisi tuonekane? Ni aibu kuona tundege twetu hatuwezi hata kwenda Zimbabwe tu.

INTERNATIONAL AIRLINE AU MASHIRIKA MAKUBWA LOOK FOR PROFITABLE COMPANIES, ATC HAIKUPEWA FURSA YA KUWA KAMPUNI YENYE FAIDA, VIONGOZI WOTE WALIOPITIA ATC, HAWAKUWA WATU MAKINI KWENYE BIASHARA ZA ANGANI, NA PIA SIASA YETU YA UJAMAA HAIKUWA CONDUSIVE FOR ATTRACTING INVESTMENTS, NA NDANI YA NCHI HAPAKUWA NA VIWANJA VINGI VYA NDEGE MIKOANI, NA HATA WANANCHI WERE NOT ECONIMICALLY CAPABLE TO AFFORD AIR TRAVEL,

Hawa wenzetu hawanunui bali wanakopa, kwa nini na sisi tusikope? au hatukopesheki? hata used?

UTAKOPA NDEGE NA HUNA CUSTOMER BASED, NA HII SIASA YA OPEN SKY ITATUMALIZA, LEO HATUWEZI SHINDANA NA KQ, EMIRATES, QATAR, KLM ETC...

BA wamekatisha safari za moja kwa moja Dar hivyo KQ na Swis Air ndio wamechukua soko ambalo kama tungekuwa na uwezo hilo lingekuwa soko letu kubwa.

Inawezaje Precision air iwe na ndege nyingi kuliko ATC ya serikali? Watalii wote wanaokuja nyumbani wanapanda ndege za kuunga unga tu wakati kama tukiamua tuna uwezo wa kuwa na direct flights from US na Europe kuja home.

HAPO UMENENA, ATC IMEKUWA NA BAHATI MBAYA SANA KUWA NA VIONGOZI WABOVU NA SELFISH.

Kama mjuavyo, kwa sasa tumekuwa tunapendwa na kila mtu kwa sababu tuna gesi ya kumwaga, hivyo inabidi tutumie mwanya huu kuongea na hao marafiki wa sasa kutusaida na sisi tuwe na mapipa makubwa ya kwenda nje ya nchi sio hutu tu debe twa kwenda mwanza tu. Tuwaombe watukodishe kama hawataki kutuuzia. Hata tukiwa na jumbo mbili tu za kwenda masafa marefu tutakuwa tumemaliza kila kitu

MKUU SIYO RAHISI HIVYO, UNAWEPEWA AU KUKOPESHWA HIZO NDEGE, BUSARA NI KUJUA KAMA TUNA MSINGI MZURI WA BIASHARA HIYO. TUWACHE KULILIA YA ANGANI, TUKIPATA UKARABATI MZURI WA RELI YA KATI, NA KUTANDIKA UPYA RELI YA KWENDA MTWARA, MKUU TUTAONA HALI YA MAENDELEO MAKUBWA SANA. WALIKUWA NA UWEZO WA KUTOKA NJE WAPANDE KQ NA EMIRATES, SISI TUPATA CENTRAL LINE YETU, BASI UCHUMI WA KUTOKA CHALINZE HADI KIGOMA UTAKUWA MZURI, MAZAO YATAFIKA KILA MAHALI KWA BEI NAFUU.

Wivu sina, ila karoho kanauma sana...]

HIYO ROHO YAKO IUME KWENYE MAENDELEO MAZURI KAMA RELI NA BARABARA WHICH SHALL BENEFIT MILLIONS OF POOR TANZANIANS

Longo longo nyingi ...... lakini unazunguka MBUYU. Twambie nani ambaye hakuipatia ATC chance since its inception! Nani aliweke sera/siasa ambazo ziliifanya ATC kutokuwa profitable? Nani alikuwa anawateua hao viongozi wa ATC ambao hawako MAKINI na SELFISH?. Nani anayetakiwa kutandaza mtandao mzuri wa reli ya kati na hiyo ya Mtwara na barabara? The devil is in its details. Ukijua sababu/chanzo cha tatizo you're on a right direction to the solution. Inavyoelekea wewe mpaka sasa hivi hujui chanzo cha matatizo yote ya ATC. Na kwakuwa hufahamu chanzo cha matatizo ya ATC, endelea kutapata katika bahari ya Hindu, finally utakuwa halali ya PAPA! Wanachotuzidi wenzetu wa Kenya ni LEADERSHIP FULL STOP. Bila kukubali huu ukweli na kuukabili tutaendelea kuwa INFERIOR kwa Kenya.
 
Serikali corrupt haiwezi fanya hilo unalofikiri, usijiulize hayo maswali dogo Lukosi utakoleza tu wendawazimu wako.
 
Wewe panya buku Chriss Lukosi...tatizo ni chama chako chakavu cha MACCM na voongozi wenu mizigo....vumilieni tu mpaka hapo mtakapojivua magamba ndiyo mtaanza kufanya maamuzi magumu .......

ameleta mada nzuri...mpe heshima tafadhali
 
Watu humu siasa nyingi, tatizo CCM tatizo CCM, wewe kama wewe umefanya nini zaidi ya kukaa JF kupiga kelele? umechukua step hata moja mbele? hizi discussions humu hazileti ndege hata siku moja. Subirini za kwenda mwanza nazo zife

Mimi sio mfanyakazi wa ATC na sio serikali.

Mimi natumia haki yangu kama mtanzania kukosoa bila kuvunja amani.

Kuhusu niliyoyafanya, kwa level yangu nimefanya mengi sana. Mfano tu ni pale niliporudisha huduma ya maji Kalenga kwa kutumia pesa yangu ya mfukoni...
 
Hatujalogwa na tuna akili sana tu.
Tatizo watu walio kwenye uongozi na sio kwamba hawaelewi au hawaoni bt ten percent ndo system na ndo mpango wa hii nchi.
Ndo maana tunasema ccm coz hii system sio kabisa no uzalendo
Maisha bora kwa kila kiongozi.
 
Mkuu umenijibu vizuri lakini hujaniambia tufanye nini ili atc iwe hata robo tu ya kq,

Reli tayari imepata wabia wa kukarabati na ni kwa ndani tu.

Tunahitaji biashara kubwa za kinataifa kama ndege.

Unadhani kwa nini nchi zote za waarabu wanainvest sana kwenye ndege? Kuna watalii wanaenda doha?

Ndugu yangu Chris, wahenga wanasema usiilaliye njee bahati ya mwenzio, Maoni yangu kuna mengi ya maendeleo ambayo yanahitaji ufafanuzi na ambayo yanaweza kumletea Mtanzania mlala hoi mabadiko mazuri ya kimaisha. Ikiwa tuko nyuma sana kweny hili la ndege, tusisitize maendeleo kwenye miundombinu yenye manufaa kwa watanzania wengi kama reli, Na reli sio Central line tuu, Tanzania ikiweza kuwekeza kwenye network kubwa ya reli nchini, basi uchumi wa mtanzania utapanda juu vizuri sana, na ni lazima tuizindue ile fikira ya Mh Sitta kutandaza reli hadi DRC, this will open a huge market.

Kuhusu ATC, Ushauri wangu ni kuwa, this entity should be made Public Joint Stock Company, share should be sold to people, give them all Routes, and advantage internaly alongwith full support from the Govt, and than call in for interested parties with good reputatios. Or make it into a Budget AIRLINE,
 
Chris Lukosi, pamoja na kusema kwamba tujadili kitaifa badala ya kisiasa ................ kwa mambo kama haya siyo rahisi kuyatenganisha na siasa. Maendeleo au umasikini wa nchi ni matokeo ya siasa nzuri au mbovu. Kwa Tanzania wote tunajua ni siasa zetu mbovu ndiyo zimetufikisha hapa tulipo. Na pia wote tunajua ni uongozi gani umetufikisha hapa tulipo............. ni CCM hiyo unayoipigania kila siku. Wakati ATC ilpokuwa na ubia na South African Airways at least shirika lilikuwa linapeperusha bendera yetu. Lakini kerere zilizokuwepo those days utafikiri tuliingia mkataba bila kujua tunataka nini au kama vile tulilazimishwa. Baada ya Mbeki kusikia kelele zetu akatuachia shirika letu .............. then haikupita hata miaka 2 tukawa hoi bin taabani. Badala ya kupoteza pesa za walipa kodi ni bora tukalifuta hili shirika na badala yake tukanunua shares Presition na kulifanya PPP.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Chris, wahenga wanasema usiilaliye njee bahati ya mwenzio, Maoni yangu kuna mengi ya maendeleo ambayo yanahitaji ufafanuzi na ambayo yanaweza kumletea Mtanzania mlala hoi mabadiko mazuri ya kimaisha. Ikiwa tuko nyuma sana kweny hili la ndege, tusisitize maendeleo kwenye miundombinu yenye manufaa kwa watanzania wengi kama reli, Na reli sio Central line tuu, Tanzania ikiweza kuwekeza kwenye network kubwa ya reli nchini, basi uchumi wa mtanzania utapanda juu vizuri sana, na ni lazima tuizindue ile fikira ya Mh Sitta kutandaza reli hadi DRC, this will open a huge market.

Kuhusu ATC, Ushauri wangu ni kuwa, this entity should be made Public Joint Stock Company, share should be sold to people, give them all Routes, and advantage internaly alongwith full support from the Govt, and than call in for interested parties with good reputatios. Or make it into a Budget AIRLINE,
Ushauri wako ni murua na nimeupenda lakini sikubaliani na wewe kuwa mafanikio ya Kenya ni bahati....
 
Kuna kitu kinaitwa leasing on airplane kama wanataka serikali wanaweza kukopa hata miaka 30 hivi na kuwekeza kwenye ndege ila kwa kuwa serikali haina priority kwenye usafirishaji wa anga basi ngoja tubaki hivi hivi
 
kuna mtu kaiba ID ya. Chirs Lukosi?
Train ya dar mwanza
dar kigoma uje utuandikie makala yake maana nasikia wakenye wanazo za umeme
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chris Lukosi, najua utaniuliza kwani wenzetu wanafanyaje (kwa kweli sina jibu), ila jamani haya madude yaangalie tu yakipaa na kutua ila bei yake sio mchezo jamani! Nilikuwa natembelea mtandao sikuamini bei ya A380 yale madege maarufu ya Emirates. A380 moja ni USD 414,400,000 (kama Euro 300,000,000 au T.Shs. 663,040,000,000).

Tembelea link hii Airbus A380 - Wikipedia, the free encyclopedia na chini ya dege la Emirates utaona bei ya huo mdude. Hiyo ni kama 5.1% ya bajeti ya Serikali 2013; bajeti ambayo kwanza inatembezewa bakuli la kufa mtu na pili ni almost haitekelezeki kwani mafungu kibao hayajatoka - natumaini mnakumbuka utetezi wa Mamlaka ya Uteuzi kwa walioitwa mawaziri mizigo kwamba sio kosa lao bali mafungu hamna. Yale madude yaone tu, sio mchezo!
 
Last edited by a moderator:
MKUU SIYO RAHISI HIVYO, UNAWEPEWA AU KUKOPESHWA HIZO NDEGE, BUSARA NI KUJUA KAMA TUNA MSINGI MZURI WA BIASHARA HIYO. TUWACHE KULILIA YA ANGANI, TUKIPATA UKARABATI MZURI WA RELI YA KATI, NA KUTANDIKA UPYA RELI YA KWENDA MTWARA, MKUU TUTAONA HALI YA MAENDELEO MAKUBWA SANA. WALIKUWA NA UWEZO WA KUTOKA NJE WAPANDE KQ NA EMIRATES, SISI TUPATA CENTRAL LINE YETU, BASI UCHUMI WA KUTOKA CHALINZE HADI KIGOMA UTAKUWA MZURI, MAZAO YATAFIKA KILA MAHALI KWA BEI NAFUU.

Wivu sina, ila karoho kanauma sana...]

HIYO ROHO YAKO IUME KWENYE MAENDELEO MAZURI KAMA RELI NA BARABARA WHICH SHALL BENEFIT MILLIONS OF POOR TANZANIANS
Chris Lukosi hope umemuelewa ndugu Mkirindi

na mimi naongezea bandari ya Mtwara, Dar, Bagamoyo, Tanga(mpya) Hizi pia ukichanganya na RELI bora itayounganisha East na west, south na North hakika Nchii hii itapaaa.

Tungekuwa serekali makini tungeekeza kwenye vitu vitatu tu kama Kipaumbele, ELIMU na MIUNDO MBILI (Kuanzia barabara, reli, bandari, Simu(Fiber), UMEME.
hakika kwa bajeti ya 18Trilion tulio nayosasa tungetenga 5 tril kila mwaka kwa ajili ya hayo tu, tungetoka.

hakika nchi hii uchumi ungechukua Miaka si chini ya 5 Ungepaa na kila kitu kingefunguka Automatic.
 
Back
Top Bottom