KQ ilikua inapeleka ndege chovu Entebbe kama hizi inazoleta Dar. Musevini alipopelekewa ripoti alianzisha Air Uganda. Kagame nae hivyo hivyo. Wote hawa walichukua maamuzi tena sio magumu. sasa hv wako hewani. Tukubali serikali ya ccm haina maamuzi
Hawa KQ Ni Ma.vi kabisa, jamaa yangu toka jumapili hajapata begi lake ambalo lina nguo za kubadilisha huku wao wanaruka ruka Tu. Hivi serikali iliwapaje leseni hawa manyang'au? Their standards are too low, fukuza hapa nchini
I see. Ningejjua mkoa wako ningekujibu kama unavyoweza bashiri.Ringia chako. unakua kama mhaya anaeringa amekwenda Havard badala ya kuringa na chuo kikuu cha bukoba
KQ zinawanyanyasa sana watu wenye ngozi nyeusi, unaweza ukahashiwa flight yako kisa tu wamepatikana abiria 'weupe'
hahahahahhhhahahaah!:shock:
Mie hata sijawahi kupanda ndege,kumbe mizigo huwa haiwekwi kwenye buti kama kwenye gari.
Mwanzo nilikuwa natumia KQ nikabadili SAA mambo yaleyale. Ila afadhali kidogo SAA