miafrika ndivyoo tulivyo..Customer care yao sefuri unamsemesha mhudumu kavuta mdomoo..lakini kw mzungu meno yote nje. Afu hata zile long journey unabaniwa bia tatu tu. Ethiopian hadi raha ..full mi whiskey unajipimia
hivi hizi ndege zipo kweli na muda sana..TANZANIA, TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE...
1, Tanzania Tanzania,
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania,
Jina lako ni tamu sana,
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wee,
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
2. Tanzania Tanzania,
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu kabisa,
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
3.Tanzania Tanzania,
Watu wako ni wema sana,
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena,
Na wageni wakukimbilia,
Ngome yako imara kweli wee,
Tanzania Tanzania
Heri yako kwa mataifa.
4. Nchi nzuri Tanzania,
Karibu wasio kwao,
Wenye shida na taabu,
Kukimbizwa na walowezi,
Tanzania yawakaribisha,
Mpigane kuime chema wee,
Yanzania Tanzania
Mola awe nawe daima.
===
TANZANIA NCHI YANGU ...NAKUPENDA TANZANIA
Nitakutangaza nchi yangu tanzania,nakupenda Tanzania nchi yangu Tanzani na najivuna kuwa mTanzania
...ATC tulifisadi wenyewe! TC zikawa zinabeba vigogo na ndugu zao; watoto wa mjomba, shangazi, na jamaa wa karibu bure!
...mali za shirika la ndege (TC) zikapewa jina lake rasmi kuwa hii ni MALI YA UMMA , kukawa hakuna mwenye uchungu na mali zetu watanzania...! " sasa tunaanza kulalamikia wezetu KQ' wakati shirika la ndege la kwetu tuliliteketeza wenyewe kwa mikono yetu, na midomo yetu wenyewe, tukajaza mitumbo yetu kwa faida ya waTz wachache wenye uchu na mali za umma...!
...Mh. Rais' "JK" ATCL iko wapa?
kitu Emirates na KLM adi raha
KQ ndio zao kuacha mizigo nyuma inakera sana kama unakwenda mikoani utajuta,na kama ushafanya booking ya Fly ya mkoa basi hesabu hasara tu hapo
...atc tulifisadi wenyewe! Tc zikawa zinabeba vigogo na ndugu zao; watoto wa mjomba, shangazi, na jamaa wa karibu bure!
...mali za shirika la ndege (tc) zikapewa jina lake rasmi kuwa hii ni mali ya umma , kukawa hakuna mwenye uchungu na mali zetu watanzania...! " sasa tunaanza kulalamikia wezetu kq' wakati shirika la ndege la kwetu tuliliteketeza wenyewe kwa mikono yetu, na midomo yetu wenyewe, tukajaza mitumbo yetu kwa faida ya watz wachache wenye uchu na mali za umma...!
...mh. Rais' "jk" atcl iko wapa?
???????hivi hizi ndege zipo kweli na muda sana..
Ndugu, lost luggage si jambo geni kwenye usafiri, wewe jaza fomu ulivyo agizwa kisha ungoje mikoba yako itakufikia. usionyeshe kuwa KQ ndio wanaopoteza ma begi ya watu kwenye airlines zote duniani, msiwe watu wa kulalamika kila saa.
Pole sana mkuu. I know that must be very frustrating. Najua ungekuwa mzungu hapo kwenye ofisi za KQ unshasikia "Sir" mara 100 na mabegi yako yote yangeshafika in time.Wakuu huwezi amini toka juzi ninakazi ya kushinda airport kusubiri flight ipi italeta mizigo yangu. Saa 8 na nusu mchana nimepata bag moja. Mawili yaliyobaki nimeambiwa nisubiri kesho. ndiyo natoka airport flight ya saa moja na robo haina bags zangu... niko very frustrated
Pole sana mkuu kumbe siku hizi imekua namna hii nimesafiria KQ siku nyingi kidogoWakuu huwezi amini toka juzi ninakazi ya kushinda airport kusubiri flight ipi italeta mizigo yangu. Saa 8 na nusu mchana nimepata bag moja. Mawili yaliyobaki nimeambiwa nisubiri kesho. ndiyo natoka airport flight ya saa moja na robo haina bags zangu... niko very frustrated
Halafu tuseme wazungu wabaguzi sasa hapo si tunabaguana wenyewe jamani.Pole sana mkuu. I know that must be very frustrating. Najua ungekuwa mzungu hapo kwenye ofisi za KQ unshasikia "Sir" mara 100 na mabegi yako yote yangeshafika in time.
Pole sana
KQ na Ethiopía Airways ni mashirika ya hovyo kabisa, kusubiri au kupotelewa na mizigo ni jambo la kawaida kwa haya mashirika
Kwanini mizigo yetu mnaiacha nyuma, (Nairobi) wakati tuna connect flight?
Ukifika Dar unastukia mizigo haijafika! Ukiuliza hakuna anayekujibu sana sana utaambiwa hatujui jaza fomu njoo kesho.
Hakuna service ya kuitrace ipo wapi na kwanini haiku board kwenye flight waliyo kuconnect!
Siku utakayoipata unakuta mabag yalifunguliwa na baadhi ya vitu havionekani!
MNA
tatizo gani? nyie mnaimba pride of Africa and you are real shame of Africa!
KQ na Ethiopía Airways ni mashirika ya hovyo kabisa, kusubiri au kupotelewa na mizigo ni jambo la kawaida kwa haya mashirika