ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huoni aibu kuskia kq inamiaka 50 lakini inamiliki ndege 3 tu😆😆😆😆While Coast bus has a profit margin bigger than ACTL
Huoni aibu kuskia kq inamiaka 50 lakini inamiliki ndege 3 tu😆😆😆😆While Coast bus has a profit margin bigger than ACTL
Na hauoni aibu kuchangamkia ndege ya Jirani ilhali mko na wheelbarrow mmojaHuoni aibu kuskia kq inamiaka 50 lakini inamiliki ndege 3 tu😆😆😆😆
KamaKQ haikunufaika na soko la Tanzn kipindi cha nyuma basi tena, maana mliingia na kutoka Kama kwenu na mlishika soko kwa 80% sasa tumewabana kwa kiasi lazima mshuke na bado Rwanda, Uganda nao wanavuta, wenye hisa nao wanataka mgao,ndege nyingi zinahitaji matengenezo hii ni alama nyekundu kwa KQNa hauoni aibu kuchangamkia ndege ya Jirani ilhali mko na wheelbarrow mmoja