Kkiwango..... Umetuacha wengine kapa hapo Mkuu....
Who is he??
What is UPTC???
Safari ya kisiasa?
Hebu weka nyama bwana manake umetuwekea skeleton tu Mkuu!!! Ilivyo mimi sioni hoja ya kuanza kuichambua humu jamvini!!!
Tukiachana na hayo naomba nikukaribishe jamvini Mkuu....