Kengen launches a new geothermal powerplant that generates 83 MW

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Kengen imezindua a new geothermal powerplant inayogenerate 83 MW. Kenya sasa inaproduce 944 MW of geothermal power na ni number 7 duniani kwa kuzalisha geothermal power.

Business Daily

COMPANIES

KenGen opens new 83 megawatt plant at Olkaria​

FRIDAY JUNE 17 2022
kengen

Managing Director(MD) and Chief Executive Officer(CEO) of Kenya Electricity Generating Company (KenGen), Ms Rebecca Miano on March 18, 2021. PHOTO | JEFF ANGOTE | NMG
john-mutua-img

By JOHN MUTUA
More by this Author

Kenya Electricity Generating Company (KenGen) has added 83 megawatts of electricity to the national grid, boosting the government’s efforts to provide affordable power to consumers.
KenGen chief executive Rebecca Miano said that the plant was commissioned last week, pushing the State-owned power producer’s share of installed geothermal capacity to 42 percent.
The government is banking on increased power supply from KenGen whose charges are lower than those of independent power producers.
“Olkaria 1 Unit 6 which is 83 megawatts last week marked the successful commissioning of that plant and it is now injecting power into the grid,” Ms Miano said on the sidelines of the inaugural sustainable energy conference in Olkaria.
The conference has drawn participants from the government, energy sector, and financial institutions and is aimed at coming up with measures of addressing challenges that hamper scale-up in the generation and use of clean energy.
Construction of the plant started in December 2018 as Kenya embarked on generating affordable and clean power to spur economic growth.

The plant will increase the share of geothermal energy that Kenya Power sells to consumers from the current 37.3 percent.

Wind and solar energy account for 16 and one percent, bringing to 54.3 percent the share of clean energy in the national grid.

Power from hydro sources accounts for 30 percent while diesel-powered thermal plants provide 10 percent.

Kenya Power bought 46 percent or Sh41.1 billion of its electricity from State-controlled KenGen, with other top producers being Lake Turkana Wind and US-based geothermal firm, OrPower 4 Inc.

A kilowatt-hour (kWh) of geothermal goes for an average of Sh6.7 while a similar unit of thermal power costs Sh30.8 on average, highlighting the anticipated impact of the increased share of geothermal electricity on the national grid.

You can rarely see the photos of the plant because it is TOP SECRET!!!
 
You can rarely see the photos of the plant because it is TOP SECRET!!!
Kenya is now the 7th largest producer of geothermal power in the world, tied at number 7 with Italy with both countries producing 944 MW of geothermal power.
 
Sema nilisikia ni risk business sana. Kudrill kisima kimoja ni kama 10m usd. Na uhakika kuwa kitafaa huwa mdogo. Tupo nyuma sana. Kenya inafanya serikali au wawekezaji wa nje?
 
Sema nilisikia ni risk business sana. Kudrill kisima kimoja ni kama 10m usd. Na uhakika kuwa kitafaa huwa mdogo. Tupo nyuma sana. Kenya inafanya serikali au wawekezaji wa nje?
Ni risky katika maeneo mengine ya ulimwengu lakini sio bonde la ufa ambayo ni ring of fire. Nyie risk yenu ipo chini sana. Sema tu serikali yenu haitaki kuchimba.
Hapa Kenya ni serikali ya Kenya ndio huchimba haya mashimo ya jotoardhi.
Umeme wa geothermal ni umeme mzuri sana kwa sababu upo constant kila wakati. Wakati wa usiku hakuna solar power, wakati hakuna upepo hakuna windpower, wakati wa kiangazi hydropower inapungua ila geothermal haipungui kwa lolote lile. Yaani lipo constant bila mchezo.
 
Kumbe. Hili ni suala tunatakiwa kuliangalia. Tumelala lala kizembe sana. Na siasa za kijinga. Maeneo potential ni southern highlands na kaskazini. Kote huonekana kwa wapinzani.
 
Kumbe. Hili ni suala tunatakiwa kuliangalia. Tumelala lala kizembe sana. Na siasa za kijinga. Maeneo potential ni southern highlands na kaskazini. Kote huonekana kwa wapinzani.
Huo upuuzi wa kujenga hydropower dams ulishapitwa na wakati. Hio JNHPP ambayo inastahili kuzalisha 2,300 MW kiuhalisia itazalisha nusu ya hio umeme kwa sababu capacity factor ya hydropower huwa chini mno. Geothermal power ikiwa nameplate capacity yake ni 100 MW basi jua kwamba 80 MW itakuwa available muda wote. Yaani hakuna umeme mzuri kushinda geothermal kwa sababu ipo available kila wakati bila kupungua. Isitoshe ni green energy kwa sababu haichafui mazingira.
 
Back
Top Bottom