Kenge, Mbwa, Kima, Mbuzi

Wazungu wanatumia zaidi bitch (umbwa jike changudoa)
 
Hivi hawa wanyama wamewakosea nini binadamu kunasibishwa nao? Kwa nini isiwe tembo, simba au twiga? Watu wakiwa na makasiriko huita wenzao majina hayo kwa nini?
Wanakumbukwa zaidi kwa sababu tofauti,mbuzi kitoweo cha muda wote,Mbwa zake kelele kibwekabweka,kima yeye msumbufu akijidai janjanjanja,kenge mwenzangu na mie jeuri hata ubongo ukitoka nje ya fuvu bila kuona damu ikimwagika haelewi somo.Hivyo kawaida viumbe wa hivi lazima watukae midomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…