mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Wakati wa Tupac hapakuwa na Youtube, hakuna wa kuvunja record halisi za Tupac.Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Umeandika ujinga tu.Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Watoto wa buku bee master j anawaitaga hawa. Wanadhani dunia imeanza walipo balehe waoWakati wa Tupac hapakuwa na Youtube, hakuna wa kuvunja record halisi za Tupac.
Wana Viujuaji fulani vya KishambaWatoto wa buku bee master j anawaitaga hawa. Wanadhani dunia imeanza walipo balehe wao
Hip hop imekufa sababu wanamuziki wa hip hop wa miaka hii waneshindwa kufikia viwango vya hip hop ya 90s eti imeangaliwa na watu kadhaa kwa siku tatu sasa utajuaje kama nyimbo ni kali bila kuiangalia?lazima watu waiangalie ili wajue ni kali au miyeyusho so kuangaliwa na watu wengi siyo issue ya kuifanya iwe Diss truck kali zaidi ya hit them upRapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Yan hakuna record label iliwah kutokea kama death row records na digital undergrounds na studio ya dre na masta p na hakuna kama hitemup yan hata mtu atoe dis track leo sasaivi ni itapigwa chini na hitemup upYaani hapa not like us hapa hit em up..
Masihara hayo, ile hit em up ni hatari, lile biti tu ni habari nyingine, hapa linagonga kichwani.. halafu pac anaanza kiintro cha kumchana big kisha verse ya kwanza, cheki ile energy sikiliza ile flow, not like us inaonekana ni ya kiwaki, haiko daraja hilo mkuu.