Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
Hivi ndio vilikuwa vishetani vya kuutekeleza ushetani wa Mwendakuzimu[emoji625]IRINGA. 24 Aprili, 2022.
Katibu Mkuu UVCCM Ndg. KENANI KIHONGOSI, amepewa jina la CHIFU CHOGAVATAMBULE likiwa na Maana ya Kiongozi wa Wateule. Jina hilo amepewa na Chifu wa Wahehe Iringa Bwana. Adamu II MKWAWA katika Kongamano la Vijana lililofanyika katika Ukumbi wa Kichangani Mkoani Iringa Aprili 24, 2022.
#CCMImara
#KaziIendelee
#UVCCMKazini
#JiandaeKuhesabiwa2022
#ShirikiUchaguziKwaUadilifuView attachment 2201030View attachment 2201031View attachment 2201032
Huyu dogo anajisikiaga sana. Kitendo cha kuwachapa viboko watu wazima akiwa DC Arusha kilikuwa cha kusikitisha sana. Ana tabia flani hivi ya kukera.