Kelele za nini...?

Kwani nani uwa anapiga kelele wakati anakunywa bia yake? Hilo bango linalenga kusema nini hasa? Ni ujumbe gani linafikisha kwetu?

Tiba
 
Kwani nani uwa anapiga kelele wakati anakunywa bia yake? Hilo bango linalenga kusema nini hasa? Ni ujumbe gani linafikisha kwetu?

Tiba
Tiba umeshawahi kwenda kwenye vilabu vya made in Tanzania?
 
tatizo beer yenyewe ni mouth opener (kwa wengine) kama Elli
 
Last edited by a moderator:
Kwani nani uwa anapiga kelele wakati anakunywa bia yake? Hilo bango linalenga kusema nini hasa? Ni ujumbe gani linafikisha kwetu?

Tiba

hujui watu wakipiga mtungi ...?
 
Hii kitu sio kwa wale wanaoropokwa wakishakewa tu lakini pia inafanyakazi kwa wale wanaoweka keleel kwa kuwaomba bia wenzao MUACHE hizo tabia
 
​Eee, nyie walevi mnaopiga kelele hapo, shut up! Walevi karibu wote ni wapiga kelele, wengine hata wakinywa bia mbili tu basi inakuwa 'bakari fungulia mbwa'.
 
Jamani kwenye vilabu vya made in Tanzania hakuna bia huko, hapa tunazungumzia bia bwana!!!!!!

Tiba
Pombe ni pombe tu, ustaarabu ni mtu binafsi. Tofauti inakuja imetengenezwa wapi, kwa sisi wazoefu wa viwanja (Bar & Night clubs) tunaona kila siku wapo wastaarabu na pia wapo wenye tabia ngumu (wasumbufu) kama hao.
 
Wengine wakishapata mbili wanaanza kupractice vya English course
 
Kwani nani uwa anapiga kelele wakati anakunywa bia yake? Hilo bango linalenga kusema nini hasa? Ni ujumbe gani linafikisha kwetu?

Tiba

Tiba ya nini
 
Wengine wakishapata mbili wanaanza kupractice vya English course

Kaka umenena,kama mzoefu wa kupanda daladala usiku,tena hata kama inatokea Kariakoo lazima utasikia lugha za kigeni tu huko siti ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…