Kelele hazijawahi kuwastua CCM

Kelele hazijawahi kuwastua CCM

Kelele tu hizi za mitandaoni hazijawah kuwastua ccm. Wanaharat uchwara endeleen kuteseka
CCM ilitaka kusambaratika kiasi cha wanachama kuogopa kuvaa magwanda ya chama, jeshi la polisi chini ya yule mzee wa Morogoro ndilo likaiokoa kwa kuwakamata waliokuwa wakiipinga CCM.
 
Mo 29 ni kelele matokeo ya kelele za mitandaoni
 
Kelele tu hizi za mitandaoni hazijawah kuwastua ccm. Wanaharakat uchwara endeleen kuteseka
Waambie hata za mo29 ,oct2remember nazo hazikufua dafu na waambie kuwa sii tu wanaupiga mwingi pia na mchache wanaupiga tena kisawasawaa!
 
Back
Top Bottom