Keki za utandawazi!

Keki za utandawazi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Nimekutana na jamaa flani anatengeneza keki za dizaini hii. Sasa bandugu bapenzi hebu acheni kuanza kusema tobaa, eti sijui dunia inakwisha, oh eti Mungu atunusuru, sijui nini...! Hizi ndizo keki za zama hizi za utandawazi.

keki.jpg
 
Huu tunaita ubunifu katika biashara!anavutia wateja
 
Mh keki unakula huku kitu kimekwenda hewani mmmmh!!!!
 
kama ubunifu ndio huu, hajawatendea haki akina dada, au soko lake ni la wanaume tu, atengenezee na za kuwa vutia warembo wetu wajameni.
 
ha ha ha Basi hapo utakuta zimetengenezwa kwa ajili ya bachelor party.
Ila ni wabunifu sana utadhani underwear za kikweli,da! nzuri.
 
mhh,people are so creative!safi nimependa sana hii kitu,napenda kujua where is it available?
 
Back
Top Bottom