keki yazua balaa harusini......!!!

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
mtaalamu wa keki aliambiwa atengeneze keki ya harusi kisha aandike 1YOHANA 4:18, lakini akasahau kidogo akaandika YOHANA 4:18
badala ya kuandika 1YOHANA 4:18 inayosema "katika pendo hamna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu".
Yeye akaandika YOHANA 4:18 isemayo "kwa maana umekuwa na wanaume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako".
Balaa likaanzia hapo....!!!
 

Duuh!! Hii ni Patashika Nguo Kuchanika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…