Keki ya Taifa: Saa 2:30 usiku - 3:30 usiku

Keki ya Taifa: Saa 2:30 usiku - 3:30 usiku

Mlimani TV

Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
12
Reaction score
12
Je,unaridhishwa na maendeleo ya soka la tanzania kuanzia ligi kuu,timu ya taifa na timu za vijana?je tumejikwaa wapi na tufanye nini ili kujikwamua,,toa maoni yako yatarushwa moja kwa moja katika kipindi live mlimani tv(startime chanel namba 114)
 
Soka la bongo ni zaidi ya maumivu ya EBOLA
 
Last edited by a moderator:
mustakabali wa soka la Tanzania ni usioeleweka. hakuna mipango ya muda mrefu ya kuandaa wachezaji. miundombinu ya soka ni mibovu kupindukia. viwanja havina tofauti na uwanja wa malisho ya ng'ombe. sioni chochote mbele zaidi ya giza
 
Back
Top Bottom