Kegel exercises for men

Mbona siwaelewi jamani???? Nahitaji kujuzwa zaidi. Fafanueni jamani kwa faida yangu na wengine wasiojua hili.
 
shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Okay..hilizoezi ni la kina hiii , ni kwa ajili ya kutengeneza misuli ya kwene sehemu za siri ili amsugue kwa mda mrefu shiiii
Kama unataka malezo zaidi labda PM maana maneno menine makali kidogo
 
Ina maana zoezi linafanyika wakati wa kukojoa au!

unaweza fanya wakati wa kukojoa lakini haishauriwi. Kukojoa inakusaidia kuweza kuijua misuli hyo ya PC.(pubococcygoes), ni ile misuli unayoikaza kuzuia mkojo. Sasa ukishaigundua , unaweza fanya wakati wowote na mahali popote, kukusaidia ndo hyo hyo misuli ya mk..ndu unaweza kuikaza na kuilegeza. Zoezi unaweza kufanya ukiwa umekaa, unaendesha. Mgawanyiko 1. Unakaza na kuachia kwa raundi 10 mpaka 10+ depending on ur strengh. 2. Unakaza kwa 10 sec na kupumzika kwa 10 unakaza tena na kuendelea 3. Ongeza muda wa kukaza kutoka 10sec hadi 20. UTAKUJA KUWA MTOMBAJI MZURI NAKUHAKIKISHIA
 
Hata wanawake pia wanaruhusiwa kufanya zoez hil maana nao linawaimalisha misul yao ya k*m*n il isiwe legelege na pia inawasaidia wakat wa kujifungua
 
....Nenda chooni wakati wa haja ndogo...ukishaanza kushughulika bana mkojo kwa muda utakaoweza, kisha endelea tena kwa muda mfupi unaubana tena hivyo hivyo mpaka unamaliza. Ukimaliza zoezi hili utafahamu ni muscles zipi katika mwili wako ambazo ulikuwa unatumia ili kuubana mkojo. Ukishafahamu hivyo basi zoezi hilo la Kegel linaweza kufanyika wakati wowote ule ukiwa unaendesha gari, ndani ya daladala, taxi, umekaa kwenye kiti/kitandani huku unachungulia JF n.k...Nadhani nimeeleweka.

Mbona siwaelewi jamani???? Nahitaji kujuzwa zaidi. Fafanueni jamani kwa faida yangu na wengine wasiojua hili.
 

Mimi kiasi nimekuelewa na nitalianza hili zoezi soon! Ila nifahamishe zaidi, umesema unaweza lifanya muda wowote na mahali popote, je uume ukiwa kwenye hali ya kusimama au kulala?
 
Ndugu wanajamvi, kwa wale wenye uelewa wa namna ya kufanya mazoezi yanayojulikana kwa jina la kegel ningeomba watujuze kwa lugha rahisi ili yaeleweke, manake nimesikia yana faida kwa wanaume na wanawake kwa ujumla. Ningeomba pia mzizimkavu atie neno hapa.
 
Mchezo wa mapenzi unapokolea.mwanamke abane vema ------ yake na hapo uboho ufanywe kama unatolewa kwa mchezo wa chubwichubwi na kuingizwa tena ni kama unavyobana kitu na koleo na kuachia.
 
Ndugu wana JF,kwa muda sasa nimekuwa nikisoma hapa jukwaani kuhusu hiki kitu kinachoitwa mazoezi ya kegel na kuonekana kuwa ni moja ya njia nzuri sana za kuimarisha misuli ya uume na kuperform vizuri sana hasa kwa wale wanaume ambao wanawahi kufika kileleni(nadeclare interest,na mimi ni mhamga wa tatizo hilo),sasa naomba msaada wa nanma ya kufanya mazoezi haya.

Please kwa watalaam.
 
WanaJf,

Kama kuna mwenye video ya mazoezi ya Kegel naomba anisaidie. Kwenye Internet nimepata vi-piece ambavyo havitoshi na pia havina mtililiko mzuri. Basi naomba msaada. Natanguliza shukrani.

choba
 
ukiwa unakojoa mkojo katisha ghafla kuna msuli utakua unakaza,basi huo ndo msuli husiku kwa zoezi hilo,
 
Anachosema Kertel ni sawa katika kutambua msuli huo. Hata hivyo zoezi halipaswi kufanywa wakati una mkojo haishauriwi kwa afya ya mfumo wa mkojo
 
sijakupata Uprising!!

Tiririka zaidi basi.

choba

Anachosema Kertel ni sawa katika kutambua msuli huo. Hata hivyo zoezi halipaswi kufanywa wakati una mkojo haishauriwi kwa afya ya mfumo wa mkojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…