Kegel exercise kwa mwanaume

Kegel exercise kwa mwanaume

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
794
Habari zenu wadau: let me go straight to the point,,, kumekuwa na malalamiko kuhusiana na nguvu za kiume, bahati mbaya watu hawaelewi tatizo hili linasababishwa na nini, kiukweli tatizo linaweza kuwa la ki psychology au physically factors, sasa leo nataka niwape mbinu ambayo itaenda kubadilisha maisha yako yakimahusiano, sasa twende kwenye methods and how to do it correctly, kwanza kabisa zoezi linaanza ukiwa umebanwa na haja ndogo, halafu unafanya kama.

Unaachia mkojo halafu ubana kidogo rudia hivi Mara kadhaa, mpaka utakapo gundua kwamba umeelewa ni upi msuli sahihi uufanyie mazoezi, baada ya hapo utakuwa unafanya zoezi hili kila siku, zoezi hili linasaidia sana kuboresha misuli ya uume, inasaidia kwa wale wanao wahi kufika kileleni, na wale wanaosumbuka kurudia tendo baada ya kumaliza bao la kwanza, ni hayo tu...

1619693363484.png

 
Kwa hyo dk 10 kwa siku au?

Na kubana nabaka kwa sec ngapi?

Na kuachia naachia kwa sekunde ngapiii?
Unabana kwa sekunde 5 alafu unaachia unapumzika sekunde5 then unabana tena sekunde5 na si lazima Dk 5 mfululizo ukifanya dk5 unaweza kuwa umekaa oficni ukabana tena sehemu yoyote uliyotulia au kupiga story unaweza fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivyo asubuhi dk 5 na jioni dk 5 jumla kwa siku dk 10?
Unabana kwa sekunde 5 alafu unaachia unapumzika sekunde5 then unabana tena sekunde5 na si lazima Dk 5 mfululizo ukifanya dk5 unaweza kuwa umekaa oficni ukabana tena sehemu yoyote uliyotulia au kupiga story unaweza fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom