Keep your nonsense to yourself

Hii weekend inaonekana ilikuwa yamoto sana humu

Soon naweza kuposa wajukuu kadhaa humu, maana vijana sio kwa kujiripua huko kuwaandikia mistari humu

Wakumbuke tu, koti la babu ni lazima litoke Italy ndiyo nitapokea 😜
 
Hii n trending ya Wapumbavu, walianza na wengi wakamfikia Seran na sasa n zamu yako.

Hao wote wanaanzisha hizo mada ni Wapumbavu tuu, mtu umempenda Nenda pm kausha huko

Mada zote Hizo Wekeni humu πŸ—‘οΈ
Washenzi washenzi wachache wanataka tuonekane wote tunafuta umaarufu nisihusishwe na huo ungese
 
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🀣🀣🀣 noma sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii weekend inaonekana ilikuwa yamoto sana humu

Soon naweza kuposa wajukuu kadhaa humu, maana vijana sio kwa kujiripua huko kuwaandikia mistari humu

Wakumbuke tu, koti la babu ni lazima litoke Italy ndiyo nitapokea 😜
Hao vijana wamechanganyikiwa
Wanafikiri kila mwanamke anapenda huo upuuzi
Babu leo nimechukia sana 🀨
 
Hao vijana wamechanganyikiwa
Wanafikiri kila mwanamke anapenda huo upuuzi
Babu leo nimechukia sana 🀨
Pole sana Mjukuu, hayo mambo ni kawaida humu

Hata mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2023 nyuzi za hivyo zilitrend sana humu

Vijana wanajua ndiyo namna ya kuziomba

Hawajui mabinti/Wanawake wanahitaji mbinu nyingine za ushawishi(usinilazimishe kuzitaja tu) 😜
 
Hamna bhna zitaje walau hao vijana waokote hata kiduchu
Heb taja tuone😎
 
Simple tuu, nilimwambia jamaa kuna umuhimu gn wa kila saa kupandisha uzi kwamba unamtaka mtu fulani, c angeenda pm na kumalizana nae.

Nikaja kuambiwa namuonea Wivu huyo girl, sasa cjui mm boy namuonea vp Wivu Mwanamke
Niliona comment yako mpka kuna mtu akakuuliza kama unamtaka wewe huyo mwanaume
Upuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…