'Keep The Good Music Alive....

'Keep The Good Music Alive....

007 De Souza

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
901
Reaction score
486
Habari zenu wana jamvi!!!!
kwa wale wanaopenda music wa HIP HOP ebu tupia mistari unayoipenda sana na kisha mtaje aliyeimba

mfano.

'maisha ni safari,ambayo imekwisha kwa zake juhudi,
alikokimbilia ni mbali, humchosha akifikiria kurudi.
#fid q ft zahir zorro-riport za mtaani

hivyoo yaani!
 
wenzako hawaombi wanashukuru,wanatenda walichofuata,omba samaki upewe nyoka,omba upewe usichotaka!#fa-unanijua unanisikia
 
wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao maskin......mwana fa mfalme
 
wengi ni mafeki,duniani akueleweki,unaeza kuzaliwa nyanda na ukachezeshwa beki,wonder what is next,mungu ajibu text,ukimwamini mtu tu umefanya mistake!
#Darasa-weka Ngoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom