KEAR: Kampuni ya kitapeli yatapeli serikali na wananchi jijini Mbeya

KEAR: Kampuni ya kitapeli yatapeli serikali na wananchi jijini Mbeya

Mwanah

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
353
Reaction score
101
Kampuni inayojiita kear computer training imewatapeli wananchi jijini mbeya zaidi ya sh.50milioni kama ifuatavyo.Mtu mmoja anayejiita UTTU KINGWANDE (namba zake za simu 0754682270,0753894349,0657955162)alifika jijini hapa na kudai kuwa ana kampuni na wafadhiri huko ulaya aliwaeleza haya meya wa jiji na naibu meya wote ccm,na akahidi kuwa atasambaza komputer ktk shule zote za secondary hapa mjini mbeya pamoja na za msingi baadhi hata hivyo akadai anahitaji kuwaandaa waalimu watakaofundisha somo hilo la computer ktk shule hizo na anahitaji walimu wengi ili awape mafunzo maalum ya computer.

Meya wa jiji na naibu meya wakajibeba kumpigia debe kwa mikutano ya hadhara na wananchi wa kata mbalimbali huku wakiwaaminisha kuwa hiyo ni kampuni sahihi inajulikana mpaka bungeni na serikalini.

Wakati huo anayejiita Uttu Kingwande na anayedai kuwa mkurugenzi wa kampuni hiyo akatangaza kuwa kila anayetaka kupewa kozi hiyo ili awe mwalimu wa computer basi ajiunge na chuo chake ambacho amekifungua ndani ya majengo ya shule ya serikali ya mbeya day ya jijini mbeya kwa kiingilio cha sh 40,000/= watu mia tisa na ushee hivi (40000x900=36,000,000/=wakajiunga kwa kutoa hera hizo na baadaye akadai wanaotaka laptop miongoni mwa wanafunzi hao watoe sh 70000@ wakatoa watu 150x70000=10,500,000 jamaa akasepa baadaye polisi wakavamia wakakamata mfanyakazi mmoja anaitwa Rehema anadaiwa pia kuwa ni mkewe wakampelaka kituoni wakitaka vielelezo vya usajili wa kampuni jamaa akadai haturudi Mbeya kutoka mafichoni aliko mpaka polisi wamwache mkewe Rehema.

Polisi wakadai hawamwachi mkewe mpaka ajitokeze yeye hata hivyo watu wakabaki wamepigwa mihera kama deci.

Swali, hivi serikali haijifunzi deci kwanini viongozi wa serikali kama meya na naibu wake wasikamatwe pia kwa kuwaaminisha watu. uongo kama huo.
 
jamani atayemwona popote apige namba hizi hapa kwa msaada zaidi ni namba za ocd polisi mbeya
 
wakati wanaendelea kumtafuta tapel halimashauri iwalipe hao waalim pesa zao
 
Pia katika kila shule kila mwanafunzi alichangishwa Tsh 1000/-kwa ajiri ya picha ya matayarisho ya masomo ya komputer.Kwa wastan kila shule alichukua 700,000/
 
Pia katika kila shule kila mwanafunzi alichangishwa Tsh 1000/-kwa ajiri ya picha ya matayarisho ya masomo ya komputer.Kwa wastan kila shule alichukua 700,000/
 
Wekeni picha watu wamuone,inawezekana hilo sio jina lake.Naibu meya Bw.Chieforder Fungo aliwalipia watu wa kata yake ya Igawilo Tsh 800,000/-ili wasome na muda wa ziada.Utaratibu wa kujiunga ilikuwa lazima uwe na barua ya mtendaji wa mtaa au kata.
 
Huyo uttu kingwande ni mshenzi balaa, mimi nilikuwa mwl wake nikafanya kazi kwake pale annex p/school hapa dsm kwa miezi miwili, lakini hakunilipa hata thumni.
 
Hao jamaa utapeli wameanzia dsm pale machinga complex wamelamba 45000 hela za wanafunzi wametimka kumbe wako mbeya mdogo naye aliingizwa mjini
 
Ukiona dili imekuja hadi mlangoni kwako kwa gharama ndogo. likimbie kama ukoma. uliona wapi laptop ya elfu sabini ? uliona wapi mafunzo ya komputer ya elfu atobaini.
bado nina imani Tanzania bado kuna wajinga wengi sana. angekuja Mza angepiga hela ndefu sana.
 
Tatizo watz bado tunapenda vya rahisi na hayo ndo matokeo yake
 
Ukiona dili imekuja hadi mlangoni kwako kwa gharama ndogo. likimbie kama ukoma. uliona wapi laptop ya elfu sabini ? uliona wapi mafunzo ya komputer ya elfu atobaini.
bado nina imani Tanzania bado kuna wajinga wengi sana. angekuja Mza angepiga hela ndefu sana.

kama umeota vile mbona ameshafika mwanza amefikia hotel Moja inayomilikiwa na mbunge wa ujaruoni na kwasasa anapanga mashambulizi pa kuanzia kazi kwenu.
 
Hahahahh. Umeona eeh? Rahisi ghali sana.
 
Wekeni picha watu wamuone,inawezekana hilo sio jina lake.Naibu meya Bw.Chieforder Fungo aliwalipia watu wa kata yake ya Igawilo Tsh 800,000/-ili wasome na muda wa ziada.Utaratibu wa kujiunga ilikuwa lazima uwe na barua ya mtendaji wa mtaa au kata.
hiyo ilikuwa bosheni tu yeye ndiyo kawaleta na alieleza mwenyewe kwenye mkutano wa hadhara ktk shule ya msingi mwanyanje na chemchem kuwa kwa kusaidiana na meya jiji mbeya na yeye kama naibu meya waliwashawishi hawa jamaa kufanya huo mradi jiji mbeya
 
kama umeota vile mbona ameshafika mwanza amefikia hotel Moja inayomilikiwa na mbunge wa ujaruoni na kwasasa anapanga mashambulizi pa kuanzia kazi kwenu.
nipi hiyo hotel inaitwaje? maana du 50000000 ni nyingi kuna mdogo wangu kalipia hadi laptop kwa huyu jamaa
 
Huyo uttu kingwande ni mshenzi balaa, mimi nilikuwa mwl wake nikafanya kazi kwake pale annex p/school hapa dsm kwa miezi miwili, lakini hakunilipa hata thumni.
huna picha yake hata moja
 
Usalama wa Taifa wako busy na CDM. Walipokuwa busy na usalama wa nchi hakukuwa na ujuha kama huu. Ilikuwa ukipanga tu ujuha wako kesho unakamatwa. Wageni wote waliripoti kwa balozi wa nyumba kumi naye anaripoti wageni mamlaka husika theni anafuatiliwa.
 
Aisee...
Tanzania hii kila mtu anaishi anavyojua!
 
Last edited by a moderator:
Kuna lapyop ya 70,000????
Walimu jamani wameliwa kiurahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiijiiii
 
Back
Top Bottom