joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Point ni kwamba Kenya hamna uwezo wa kutoa msaada, Kama hata chakula bado mnasaidiwa hadi Leo miaka 56 baada ya Uhuru. Nchi zote zinazotoa misaada zinajitangaza, hata ninyi mlipotupatia vile vi blanket vya kichina tulipokumbwa na tetemeko mlitangaza.Kati ya sisi na nyinyi ni nani ambaye anataka publicity, Hakuna nchi nyengine iliotangaza imepeleka madawa kiasi gani wala chakula kiasi ghani, Nyinyi Tanzania mmeanza leo na tayari kiburi kimefika kwa koo eti unataka sasa tuanze kulinganisha misaada iliotolewa na Ke Vs Tz na thamani yake...... What a low human bieng you are!
Kenya itasaidia ndugu zake siku zote, hata kama hatuna kitu sio kama nyinyi mnasadia msimu wa mahindi pekee
Tumekusikia sasa bwana majigambo. Kalale . Alamsiki!Point ni kwamba Kenya hamna uwezo wa kutoa msaada, Kama hata chakula bado mnasaidiwa hadi Leo miaka 56 baada ya Uhuru. Nchi zote zinazotoa misaada zinajitangaza, hata ninyi mlipotupatia vile vi blanket vya kichina tulipokumbwa na tetemeko mlitangaza.
Tumepeka msaada wa vyakula, madawa, nguo na blankents "TanzaniAid"
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha Bongolala ni watu wa ajabu, jambo ndogo sasa hatuwezi pumua..Tumekusikia sasa bwana majigambo. Kalale . Alamsiki!
joto la jiwe kw kuteta thuu...hajambo...yani jamaa hz thread za wakenya zinamuumiza kichwa sana...halali bila kutoa povu...big up lkn kijana...nitakuunganisha na jamaa wa online job upige kazi..manake naona unapenda sana ku typeha ha Bongolala ni watu wa ajabu, jambo ndogo sasa hatuwezi pumua..
Mshaiga kunya kwa tembo? Na msamba wa kutosha lakini?Mgagaa na Upwa, KDF wakitoa msaada wa vyakula kwa wahanga wa ukame.http://watsupafrica.com/news/kdf-sh-1-million-food-donation-in-nakuru-county/ Huku wenzao JWTZ wakijifungia kwenye kambi, wakifanya mazoezi ya kujitayarisha kuzuia wapinzani wasiandamane. Eti kwasababu Jiwe alisema wahanga wafanye kazi kwasababu sio CCM ndio ilileta msiba wa tetemeko la ardhi wakati ule kule Bukoba.
Boss kwenye hiyo video hapo ni Kenya na KDF wanatekeleza jukumu lao.
Hizo ndizo sifa za KDF, hawafikirii kingine ni ngono tuu..Tunaomba kamanda wao wapatie amri ya kujipiga punyeto wakiwa huko mozambique wasiiletee nchi aibu
Jeshi la Tanzania huwezi kulifahamu mpaka uwachokoze na hapo ndipo utaona kilichomtoa kanga manyoya.Hehehehehe zungumzia kuhusu jeshi lenu pia. Wamebaka wanawake wa Congo na watoto wengi sana ndio maana waliharibiwa sura kwa mapanga by Congolese kids.
Wewe mtoto mkubwa mbona unaharisha??????????????Watoto wadogo ndo huongea hivyo.. Inaitwa kujenga nyumba ya makaratasi
Lol 😂Jeshi la Tanzania huwezi kulifahamu mpaka uwachokoze na hapo ndipo utaona kilichomtoa kanga manyoya.
The best way to know its weakness is to try it.Lol 😂
Hivi kuna viumbe dhaifu duniani kama wabongo na jeshi lao?
Wote mpo sahihi haina haja ya kulumbana. I recognize effort done by Tanzanians likewise efforts done by Kenyans. Kenya wameplay part yao na Tanzanians wameplay part yao. Sisi sote ni ndugu no need of criticizing each other.Tanzanian plane supplied aid and departed! You are nolonger there, wacha next update uangalie ni nchi gani bado zitakua huko!Hapo kwa heading inasema tropical cyclone idai, internationa deployed assets (as of 29th March 2019) . Mlipeleka ndege moja mkaangusha chakula na mkaondoka..... KDF wako on the ground kufanya kazi ngumu zaidi, Search and rescue and recovery, miili ya wafu lazima ipatikane popote ilipo na familia za walio pona wapewe mili wakazike---- hio tayari ni mojawepo ya kazi ngumu sana , Magonjwa nayo lazima yatibiwe, Na hilo eneo lote llililo haribiwa na maji lazima vyoo vijengwe na nyumba zirekebishwe, usafi ufanyike na miundombinu irekebishwe ili maisha yarudi kawaida, hii ni mission inaeza chukua zaidi ya miezi sita!!!!!!
This is what a person who is genuinely helping his brother should speak like..... Lakini kuna jamaa wengine hapa ndani wanataka tuanze kulinganisha thamani na impact ya msaada wa Ke Vs TZ kana kwamba ni mashindano ya nani amesaidia zaidiWote mpo sahihi haina haja ya kulumbana. I recognize effort done by Tanzanians likewise efforts done by Kenyans. Kenya wameplay part yao na Tanzanians wameplay part yao. Sisi sote ni ndugu no need of criticizing each other.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli jeshi LA Tanzania na watanzania sisi ni wadhaifu sana.tunashukuruLol [emoji23]
Hivi kuna viumbe dhaifu duniani kama wabongo na jeshi lao?
Rubishi sasa kama ingekuwa kimya kimya hizo picha ww umetoa matakoni kwako auBila mbwembwe na sherehe au tangazo rasmi kwa vyombo vya habari, KDF walitumwa Kwa nchi zilizokumbwa na Cyclone Kule kusini mwa Africa ... walipeleka blankets,madawa na vyenginevyo ikiwemo madaktari ...
KDF in Mozambique
View attachment 1058536View attachment 1058537View attachment 1058538View attachment 1058539
Srekali kuu haijatangaza lolote rasmi kama vile nyinyi mlifanya, hizi ni picha zilizo pigwa na KDF waliohuko na wakabandika kwa twitter, Lakini Serekali yenyewe haikusema kitu wakati hao wanajeshi wanatumwa na hadi sasa hakuna lolote limetajwa rasmi na serekaliRubishi sasa kama ingekuwa kimya kimya hizo picha ww umetoa matakoni kwako au
Sent using Jamii Forums mobile app