Ndo chuo gani hichoTumeomba hichi chuo kwa degree za Afya kwanini hadi leo vyuo vyote tayari majina isipokuwakuwa chuo hichi au ndio wamegairi kutoa mafunzo ya degree za Afya?? kule kwenye Website yao kuna majina ya Diploma tu. kwanini walitudanganya??
Naomba kuwasilisha.
KcmcNdo chuo gani hicho
Kilimanjaro Christian Medical University CollegeNdo chuo gani hicho
Kalime tu mwaka huu....'Kwel kwenye website zao hakuna kitu afu tcu imetoka third round ya application sasa watu wako njia panda mana kcmc hawajatoa majina so haijulikan wamekosa wapply third round au vip
We chokoraa hamna chuo kinachoitwa KCMUTumeomba hichi cha Kilimanjaro Christian Medical University College kwa degree za Afya kwanini hadi leo vyuo vyote tayari majina isipokuwakuwa chuo hichi au ndio wamegairi kutoa mafunzo ya degree za Afya?? kule kwenye Website yao kuna majina ya Diploma tu. kwanini walitudanganya??
Naomba kuwasilisha.