mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Kila taifa linakopa kwa sababu zake, nyie huko kwa umaskini huwa mnafadhiliwa hata kwenye bajeti, ama kwa hakika mumeidhalilisha Afrika.
huna habari kwamba mnakopa ili kusaidia bajeti


au unajishughulisha na tanzania hata ya nchi yenu huyajui??