KBC mnashindwa wapi?

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa Rais wa Marekani.

Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata kuapishwa kwa Rais wa Uganda mtaonyesha live
 
Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa raisi wa marekani
Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata kuapishwa kwa rais wa Uganda mtaonyesha live
The irony is unaangalia TV ya Kenya wakati kuna TV kibao Tanzania alafu bado unasema hiyo TV ya Kenya imefeli. Kivipi? Hii ina maana KBC wamepita mtihani tena sana hadi wanaatract viewers from other countries. Kukosa akili ni kitu mbaya. 😂 😂 😂
 
wewe mbuzi kweli mimi mimi nafatilia michuano ya CHAN na KBC wanaonyesha sasa chakushngaza hawajaonyesha mpira kisa kujikomba kwa mabeberu.
Wapuuzi wakubwa nyinyi wakenya mnategemea One day VOA watakuja kuonyesha live raisi wa Kenya akiapishwa
 
Mbona usiangalie hiyo michuano kwa stesheni za Bongo?
 
Which kenyan even watches kBC. Watz ni wajinga
Wewe ndio mjinga sababu mtu akizaliwa Kenya tu lazima anakua mjinga
Mimi nahangalia KBC sababu wanaonesha mpira mashindano ya Africa japo Kenya haishirki sasa leo wameairisha kuonyesha mpira kisa wanaonyesha live kuapishwa raisi wa marekani huo si ndio upuuzi wenu nyie nyangau wa kuwaramba mabeberu
 
Mbona usiangalie hiyo michuano kwa stesheni za Bongo?
za bongo hawaonyeshi.
Ila nyinyi wakenya acheni roho hizo za kitumwa wazungu wakionyesha Kenya kwenye media zao wanaonyesha kuhusu njaa na nzige na makazi yenu duni ya pale kibera halafu nyinyi mnajikuta mnawafagilia sana huo ni utumwa
 
Station zao zote zilionyesha uapishwaji wote... Kama vile wao ni jimbo la Marekani ,Mental slavery is on another level in Nyangauland ...
 
Hadi pale mtakapoweza kutenganisha utaifa na rangi ya ngozi/asili ya watu husika ndio upumbavu na ushamba utakuwa umewatoka akilini. Hivi aliyeapishwa jana kama makamu wa rais, Kamala Harris, mtamuita beberu, mwafrika, mhindi au mmarekani? Sio kila jambo la nchi ya Marekani linahusu mzungu, acheni ushamba. Asilimia kubwa ya waliowapigia kura Biden/Harris ni watu weusi. Watu wakitizama hafla ya kuapishwa kwa Biden wanafatilia matukio ya nchi ya Marekani sio wazungu, waafrika, wahindi n.k, n.k. Stesheni za Tv nazo zinawapa watazamaji wao kile ambacho wanataka. Hafla yenyewe ilirushwa live na media zote za kutajika, CNN, BBC, France24 ya mfaransa, NHK World ya mjapani, CGTN ya mchina hadi na Aljazeera ya muarabu. Alafu jombaa mbona usitizame CHAN kwenye stesheni yenu pendwa TBC kama nyie ndio mnajitambua zaidi? Mbona unakosa uzalendo wa kutazama taarabu 24/7 kama ambavyo serikali yako imekupangia? Unafata nini kwenye michuano ya CHAN na KBC wakati kuna content za kutazama ambazo ni za kitanzania kwa 100%?
 
za bongo hawaonyeshi.
Ila nyinyi wakenya acheni roho hizo za kitumwa wazungu wakionyesha Kenya kwenye media zao wanaonyesha kuhusu njaa na nzige na makazi yenu duni ya pale kibera halafu nyinyi mnajikuta mnawafagilia sana huo ni utumwa
Angalia ZBC2 mkuu, wanarusha
 
Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa raisi wa marekani
Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata kuapishwa kwa rais wa Uganda mtaonyesha live
kenya niwanafiki na watu wa kujipendekeza kupita maelezo, wakenya siyo watu kabisa, namshukuru Mungu Tanzania imeeanza kuyafahamu maovu yao.
 
Hadi pale mtakapoweza kutenganisha utaifa na rangi ya ngozi/asili ya watu husika ndio upumbavu na ushamba utakuwa umewatoka akilini. Hivi aliyeapishwa jana kama makamu wa rais, Kamala Harris, mtamuita beberu, mwafrika, mhindi au mmarekani? Sio kila jambo la nchi ya Marekani linahusu mzungu, acheni ushamba. Asilimia kubwa ya waliowapigia kura Biden/Harris ni watu weusi. Watu wakitizama hafla ya kuapishwa kwa Biden wanafatilia matukio ya nchi ya Marekani sio wazungu, waafrika, wahindi n.k, n.k. Stesheni za Tv nazo zinawapa watazamaji wao kile ambacho wanataka. Hafla yenyewe ilirushwa live na media zote za kutajika, CNN, BBC, France24 ya mfaransa, NHK World ya mjapani, CGTN ya mchina hadi na Aljazeera ya muarabu. Alafu jombaa mbona usitizame CHAN kwenye stesheni yenu pendwa TBC kama nyie ndio mnajitambua zaidi? Mbona unakosa uzalendo wa kutazama taarabu 24/7 kama ambavyo serikali yako imekupangia? Unafata nini kwenye michuano ya CHAN na KBC wakati kuna content za kutazama ambazo ni za kitanzania kwa 100%?
Nakumbuka wakati ule Obama alichaguliwa The Republic of Kenyatta walifabya public holiday, Halafu wamarekani wenyewe hata hawakufanya public Holiday,
Hapo nilijua Wakenya ni Kamasi tupu vichwani.
 
halafu obama akawa na state visit to Tanzania before kenya. wajaluo wanabaguliwa sana kenya, mjaluo akiwa raisi wa marekani anaonekana wa maana, ukabila ni upumbavu usiokuwa na kipimo. POOR KENYANS
 
Republic of Kenyatta
JamiiForums280289769.jpg
 
za bongo hawaonyeshi.
Ila nyinyi wakenya acheni roho hizo za kitumwa wazungu wakionyesha Kenya kwenye media zao wanaonyesha kuhusu njaa na nzige na makazi yenu duni ya pale kibera halafu nyinyi mnajikuta mnawafagilia sana huo ni utumwa
Kama za bongo hawaonyeshi then tell them to do better. Wacha kulialia.
 
Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa raisi wa marekani
Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata kuapishwa kwa rais wa Uganda mtaonyesha live
Usichokijua miongoni mwa mambo yaliyokufanya uache kuangalia Tv za Tz na kuangalia KBC ni uonyeshaji wao wa matukio kama hayo. Wewe ndio ume-fail
 
Dah! Hawa ndugu zetu sijui nani kawaloga yahani wanaonyesha live kuapishwa kwa raisi wa marekani
Hivi VOA walishawai kuonyesha live kuapishwa kwa raisi wa Kenya but anyways i hope hata kuapishwa kwa rais wa Uganda mtaonyesha live
Huku umejiita CARIFONIA tena kwa herufi kubwa. Umeacha kujiita MTOGOLE au CHATO. Nimeamini Kweli nyani haoni kundule
 
Back
Top Bottom