Kazii!... Kaziii!....

Kazii!... Kaziii!....

adataro

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
36
Reaction score
0
Hello mwanajamii!

Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato.

Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya?
Je, wewe uko unatafuta ajira?
Je, wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote(sales)?
Je, wewe hujawahi kufanya biashara yoyote lakini unahisi unaweza?

Je, wewe unapenda kufanya biashara nyingine ya pili licha ya hiyo unayofanya?
Je, wewe unapenda kuongeza kipato kingine licha ya kazi unayofanya?

Hujachelewa kama una mpango wa kupata njia njema ya kuyaendea maisha mazuri. Niandikie ujumbe kwenye email: healthwealthfirst@gmail.com pia waweza kunipigia 0776491294

Hii ni kwa watu walio DAR-ES-SALAAM tu
 
Pouwa mkubwa mie natafuta kazi nimemalza 6 mwaka jana nisaidie please 0716164147/0762612213
 
Hello mwanajamii!

Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato.

Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya?
Je, wewe uko unatafuta ajira?
Je, wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote(sales)?
Je, wewe hujawahi kufanya biashara yoyote lakini unahisi unaweza?

Je, wewe unapenda kufanya biashara nyingine ya pili licha ya hiyo unayofanya?
Je, wewe unapenda kuongeza kipato kingine licha ya kazi unayofanya?

Hujachelewa kama una mpango wa kupata njia njema ya kuyaendea maisha mazuri. Niandikie ujumbe kwenye email: healthwealthfirst@gmail.com pia waweza kunipigia 0776491294

Hii ni kwa watu walio DAR-ES-SALAAM tu

si utuambiage unafanya nini, au wewe ni consultant??? funguka kabla hatujatuma email...
 
Sasa maswali yote ya nini ni utuambiye kama kuna nafasi ya kazi au una fursa fulani watu waichangamkie vinginevyo yawezekana unataka kuwaibia tu na siyo kazi
 
'mi nadhani usingemshutumu kwanza kabla ya kujua ni nini kinachoendelea mkuu kwani kumtumia email akakupa full info kuna ugumu kweli'
 
Matangazo niliyozea mim ni kama vile hr anatafutwa dr. Anahitajika na mifano ya hyo ila wew unasema 2nataka kaz bila kutuambia hiv ukitupa za dawa za kichina 2tembeze wakat huku kwetu tumekataa cku nyingi utatulipa mda we2
 
ALL THE BEST KWA WATAKAOKUA INTERESTED, Ila matangazo kama hayo nimeshakutana nayo sana, ukifuatilia unaambiwa NETWORK MARKETING, ishu za kuzungusha bidhaa mtaani
 
Ndugu zangu watanzania kuweni na busara japo kidogo,ivi unaposema kazi yenyewe kutembeza vyombo mtaani! Kwani kutembeza vyombo si kazi?au hujui nini maana ya kazi? Tambue kunawengine wanazitafuta usiku na mchana kama nilivyo mimi. Kwahiyo usipende kuleta dharau ktk vitu vya msingi kwa wengine. Na uwenda wewe mwenye kulakulala kwa mzee wako.
 
Sikia ndugu kazi!! Kazi!! ndo nini kila mtu ana proffessional yake bana awe wazi mtu ujue kama kweli unaendana nayo au vip hao ndo wezi kwenye mitandao mtu hayupo wazi anatoka wapi anafanya nn kuwa makini sana.
 
Hello mwanajamii!

Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato.

Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya?
Je, wewe uko unatafuta ajira?
Je, wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote(sales)?
Je, wewe hujawahi kufanya biashara yoyote lakini unahisi unaweza?

Je, wewe unapenda kufanya biashara nyingine ya pili licha ya hiyo unayofanya?
Je, wewe unapenda kuongeza kipato kingine licha ya kazi unayofanya?

Hujachelewa kama una mpango wa kupata njia njema ya kuyaendea maisha mazuri. Niandikie ujumbe kwenye email: healthwealthfirst@gmail.com pia waweza kunipigia 0776491294

Hii ni kwa watu walio DAR-ES-SALAAM tu

Jamani tusimuamini mtu na ki-tangazo chake ambacho kina-"HANG HANG" tu. Hili tangazo halijitosherezi, hajaeleza office yake inashughulika na nini. MATAPELI WENGI SIKU HIZI.
 
Back
Top Bottom