kazi

kazi

Joined
Apr 30, 2013
Posts
68
Reaction score
3
anatafutwa store keeper anaeishi Kibaha aliyesoma masuala ya store keeper, kama uko tayar funguka
 
Mi niko tayari! Bt kamilisha basi tangazo lako! Level ya elimu, mode of application, na mengineyo!
 
Kuna mdogo wangu, Ila anakaa mbezi ya kimara, kama inafaa tuongee private mkuu 0712162678
 
0759720291 naomba 2wasiliane sifa nnazo.
 
upo Kibaha? Na umesomea store keeper? If yes nijib n Ajira ya Serikalin na ya kudumu
Nitafute kwa mawasiliano zaidi nimesoma maswala ya warehouse management na npo mbezi, na kama kazi inamtaka mtu awe karibu na warehouse npo tayari muda wowote kuhamia kibaha. Mawasiliano yang 0759720291
 
Back
Top Bottom