Kazi

Kazi

Kizigha

Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
16
Reaction score
1
Mhasibu anatakiwa mwenye degree..mshahara net Ni laki 4...Piga 0718200777
 
Huo mshahara Kizigha kama we unapewa una mke na mtoto mmoja utakutosha? Assumption is mkeo hafanyi kazi we ndo una supply mahitaji kitaa kuanzia ya mama mpaka ya mtoto na rent juu na misosi na michango ya kifamilia na hizi harusi za siku hizi za voda fasta na hospitali, makato ya LUKU, maji, hela ya vocha, fungu la 10 kanisani ama msikitini, nauli za kazini na .......................................................
Utakutosha?
 
Nyie jishaueni tu humu hiyo 400,000/= nyingi sanaaaa! We mtu kazi hujui, upewe hela nyingi za nini? Unaogopewa ama??????

Upewe hela nyingi na bado kazi tukufundishe!!!!? Aaaaaaaah wapi!

Kama unaona hiyo kilo 4 ndogo wewe kaa nyumbani angalia Isidingo uone kama hiyo kilo 4 utainya!!!!!!!!

MASHAUZI YANATAKA UWE KWANZA NA KAZI!
 
Hahaha, mnafurahisha vijana. Wenzenu wanasaka walau volunteering wanaambiwa hakuna nafasi na nyie mnashaukwa na laki 4? Beggeres cant be choosers.
 
Acha hizo kijana,huo ni mshahara ambao analipwa afisa wa serikali ati, uliza kama una jamaa yako hata askari polsi akuambie
Huo mshahara Kizigha kama we unapewa una mke na mtoto mmoja utakutosha? Assumption is mkeo hafanyi kazi we ndo una supply mahitaji kitaa kuanzia ya mama mpaka ya mtoto na rent juu na misosi na michango ya kifamilia na hizi harusi za siku hizi za voda fasta na hospitali, makato ya LUKU, maji, hela ya vocha, fungu la 10 kanisani ama msikitini, nauli za kazini na .......................................................
Utakutosha?
 
Nashukuru sana kwa reply zenu...Mungu atawafanyia wepesi katika majambo yenu inshallah...
 
Nyie jishaueni tu humu hiyo 400,000/= nyingi sanaaaa! We mtu kazi hujui, upewe hela nyingi za nini? Unaogopewa ama??????

Upewe hela nyingi na bado kazi tukufundishe!!!!? Aaaaaaaah wapi!

Kama unaona hiyo kilo 4 ndogo wewe kaa nyumbani angalia Isidingo uone kama hiyo kilo 4 utainya!!!!!!!!

MASHAUZI YANATAKA UWE KWANZA NA KAZI!
utakuta mtu kasomeshwa mpaka chuo na mshahara wa Mama mwalimu au baba askARI LAKINI ANAPONDA HUU MSHAHARA.....KISA YUKO NYUMBANI ANAENDELEA KULA BURE......WALIMU WENYE DIGRII WANAANZA NA LAKI TANO ...UKITOA MAKATO INABAKI LAKI nne na maisha yanasonga au si ajabu ndo mtu anamtegea akiambiwa njoo kazi hii laki nne anaponda eti mshahara mdogo.....bakhresa alikuwa shoe shine, akauza ice cream .....
 
Walimu mbona mbali! Bank ndio maslahi yetu hayo, chache ongeza 100,000 hapo. Hio ndio standard ya sokoni! Wengine wanajitolea bureeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
unajua nini watanzania wenye hasira na maisha ni wachache sana....arusha makao makuu ya EAC wageni watupu ........hadi maintern nikamuuliza jamaa yupo pale vp ...akaniambia wabongo huwa hawaombi au hata wakienda wanaaacha fasta
 
Back
Top Bottom