FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,149
- 1,470
Veo /Meo kima cha chini kimeongezwa.. Seminar na Vikao vya back to back vinawabeba..Walimu hawausiki sio je sisi watendaji wa kijiji veo na meo
Wakulima wa mazoa ya biashara akipambana na kuwa na money plannina ipo siku atatatoa tu hata kama ni baada ya miaka mingi. Tatizo sekta ya kilimo haihamsishwi kwa sana ili vijana wajikite huko!Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana..
Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta.
Licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujituma ila watu wa sheli wanapitia kipindi kigumu sana hasa kwa Loss na Mshahara kiduchu..
Walinzi wa Kampuni local
Licha ya kukesha usiku kucha lakini bado walinzi wanatumika km mtego hasa pale Lindo linapoingia dosari ya wizi. Walinzi wengi huangukia Gerezani hata kwa visa wasivyohusika navyo..
Wafanyakazi wa Super Market
Licha ya kuwa nadhifu muda wote lakini Hawa binadamu wanaishi maisha magumu sana, amini ninachowaambia..
Bodaboda
Ukiachilia mbali Maradhi ya kutisha Yale unayoyajua, basi barabara inatajwa kama sehemu Hatari zaidi kwa maisha ya binadamu.. Boda kutoboa ni ngumu saana
Waiter..
Hii kazi nayo kutoboa utapaskia tu kweny radio
Konda
Licha ya kuamka mapema na kufanya kazi ya kutupeleka miangaikoni lakini asilimia kubwa ya abiria bado Hawaoni thamani ya Konda.. Kwa siku moja pekee Konda anazozana na abiria wasiopungua 50, sasa Kuna kutoboa hapo kweli..?
Wenyeviti wa serikali za Mtaa
Hawa nao kutoboa huwa ni ngumu sana, hawana tofauti na mtu anayefanya Intern kwenye taasisi fulani.. fikiria unaamshwa saa kumi usiku kwa kazi ambayo mwisho mwa mwezi haupati kitu😂😂
Wauza Maduka ya Tabata na Sinza.. Hawa nao kutoboa kwao kupo mbaliii.. Unakuta duka limepambwa kama Sebureni sasa nani aingie kununua humo😂
Labor wa viwandani
Hawa nao kutoboa ni mtihani.. Pale Tabata Azam kwenye kiwanda cha Nida labor wanalipwa elfu5 kwa siku, wanakata chakula buku inabaki elfu4 na watu wanajaa kuomba kazi hadi wengine wanarudishwa nyumbani.. Halafu Kuna tahira huko linasifia CCM inaumiza sana..
Tuendelee kujituma na Kumwamini Mungu.. Yote yanawezekana..
View attachment 3366120
Hahaha 😂.Asante kazi yangu ya Ujobless haijatajwa niendelee kugombania remote na kina Junior tu
Houseboy anamshahara sio sawa na kukaa kwa shemeji/dada bure.Hahaha 😂.
House 🏡 boy, siyo?
Mawinga kkoo, tuulize mkuu alafu ndo comment ihusikeMawinga na manyau k.koo
Asante kazi yangu ya Ujobless haijatajwa niendelee kugombania remote na kina Junior tu
Aaha winga wanapitia mengi sana.. unampereka mteja kwenye bidhaa kumbe mteja mwenyewe anakuchora alitaka kupajua inapopatikana bidhaa hiyo.. kutoboa ni kipengereMawinga na manyau k.koo
Brake zime Ng'a Ng'ania home..Usitoke mpaka upate Mgao wako pakiuzwaAsante kazi yangu ya Ujobless haijatajwa niendelee kugombania remote na kina Junior tu
Nina Shemeji yangu alikua bachela anaishi kwao anazuga mtaani tu, tukajipinda na dada yake tukamnunulia bodaboda mpyaaa akaanza kupiga kaziNajua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana..
Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta.
Licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujituma ila watu wa sheli wanapitia kipindi kigumu sana hasa kwa Loss na Mshahara kiduchu..
Walinzi wa Kampuni local
Licha ya kukesha usiku kucha lakini bado walinzi wanatumika km mtego hasa pale Lindo linapoingia dosari ya wizi. Walinzi wengi huangukia Gerezani hata kwa visa wasivyohusika navyo..
Wafanyakazi wa Super Market
Licha ya kuwa nadhifu muda wote lakini Hawa binadamu wanaishi maisha magumu sana, amini ninachowaambia..
Bodaboda
Ukiachilia mbali Maradhi ya kutisha Yale unayoyajua, basi barabara inatajwa kama sehemu Hatari zaidi kwa maisha ya binadamu.. Boda kutoboa ni ngumu saana
Waiter..
Hii kazi nayo kutoboa utapaskia tu kweny radio
Konda
Licha ya kuamka mapema na kufanya kazi ya kutupeleka miangaikoni lakini asilimia kubwa ya abiria bado Hawaoni thamani ya Konda.. Kwa siku moja pekee Konda anazozana na abiria wasiopungua 50, sasa Kuna kutoboa hapo kweli..?
Wenyeviti wa serikali za Mtaa
Hawa nao kutoboa huwa ni ngumu sana, hawana tofauti na mtu anayefanya Intern kwenye taasisi fulani.. fikiria unaamshwa saa kumi usiku kwa kazi ambayo mwisho mwa mwezi haupati kitu😂😂
Wauza Maduka ya Tabata na Sinza.. Hawa nao kutoboa kwao kupo mbaliii.. Unakuta duka limepambwa kama Sebureni sasa nani aingie kununua humo😂
Labor wa viwandani
Hawa nao kutoboa ni mtihani.. Pale Tabata Azam kwenye kiwanda cha Nida labor wanalipwa elfu5 kwa siku, wanakata chakula buku inabaki elfu4 na watu wanajaa kuomba kazi hadi wengine wanarudishwa nyumbani.. Halafu Kuna tahira huko linasifia CCM inaumiza sana..
Tuendelee kujituma na Kumwamini Mungu.. Yote yanawezekana..
View attachment 3366120
Huku kwetu Wishiteleja Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga huduma za mwenyekiti ni buree, na hiyo ndio Hali halisi kwa maeneo mengi ya Tz isipokuwa huko kwenu DaslamNina Shemeji yangu alikua bachela anaishi kwao anazuga mtaani tu, tukajipinda na dada yake tukamnunulia bodaboda mpyaaa akaanza kupiga kazi
Leo hii ameoa yupo na familia yake anakaa kwenye nyumba yake Tandika japo ni ndogo,
Anazo boda boda zingine 4 kawapa wenzake wanamletea hesabu na yeye bado anaendesha
Leo hii nikikwama nimpigie nimwambie niazime 500k ntarudisha siku fulani yaani ni fasta anakupa
Yote hii ni kwa kazi ya BODABODA tu
Wenyeviti wa serikali za mtaa siku hizi wana hela asikudanganye mtu, hawa huwa wana cover eneo kubwa sana kiutawala, kwa siku hakosi si chini ya watu 10 wanaokuja kufuata barua za utambulisho na ni lazima “kuchangia” 5,000 hela ya kalamu na karatasi. Na bado kuna issue kibao zinazotaka involvement ya mwenyekiti mitaani ambayo ni mwendo wa maokoto tu
Kwani KUTOBOA ndio kupi mkuu?Mawinga
Walimu
Wakulima
Wafanyakazi viwandani
Wafanyakazi wa halmashauri
Suala la kutoboa kimaisha halitegemeani na kazi unayofanya, huwa inategemea na fursa utakayokutana nayo katika eneo la kazi husika.Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana..
Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta.
Licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujituma ila watu wa sheli wanapitia kipindi kigumu sana hasa kwa Loss na Mshahara kiduchu..
Walinzi wa Kampuni local
Licha ya kukesha usiku kucha lakini bado walinzi wanatumika km mtego hasa pale Lindo linapoingia dosari ya wizi. Walinzi wengi huangukia Gerezani hata kwa visa wasivyohusika navyo..
Wafanyakazi wa Super Market
Licha ya kuwa nadhifu muda wote lakini Hawa binadamu wanaishi maisha magumu sana, amini ninachowaambia..
Bodaboda
Ukiachilia mbali Maradhi ya kutisha Yale unayoyajua, basi barabara inatajwa kama sehemu Hatari zaidi kwa maisha ya binadamu.. Boda kutoboa ni ngumu saana
Waiter..
Hii kazi nayo kutoboa utapaskia tu kweny radio
Konda
Licha ya kuamka mapema na kufanya kazi ya kutupeleka miangaikoni lakini asilimia kubwa ya abiria bado Hawaoni thamani ya Konda.. Kwa siku moja pekee Konda anazozana na abiria wasiopungua 50, sasa Kuna kutoboa hapo kweli..?
Wenyeviti wa serikali za Mtaa
Hawa nao kutoboa huwa ni ngumu sana, hawana tofauti na mtu anayefanya Intern kwenye taasisi fulani.. fikiria unaamshwa saa kumi usiku kwa kazi ambayo mwisho mwa mwezi haupati kitu😂😂
Wauza Maduka ya Tabata na Sinza.. Hawa nao kutoboa kwao kupo mbaliii.. Unakuta duka limepambwa kama Sebureni sasa nani aingie kununua humo😂
Labor wa viwandani
Hawa nao kutoboa ni mtihani.. Pale Tabata Azam kwenye kiwanda cha Nida labor wanalipwa elfu5 kwa siku, wanakata chakula buku inabaki elfu4 na watu wanajaa kuomba kazi hadi wengine wanarudishwa nyumbani.. Halafu Kuna tahira huko linasifia CCM inaumiza sana..
Tuendelee kujituma na Kumwamini Mungu.. Yote yanawezekana..
View attachment 3366120
Kwa LEVEL za maisha ya vijijini mtumishi mwenye maisha bora anaanza Mwenyekiti wa kijiji halafu wanafuatia walimu na bwana shamba/mifugo wa kijiji 😂😂😂😂Huku kwetu Wishiteleja Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga huduma za mwenyekiti ni buree, na hiyo ndio Hali halisi kwa maeneo mengi ya Tz isipokuwa huko kwenu Daslam