Kazi za ufundi mekanika

Kazi za ufundi mekanika

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,095
Reaction score
1,503
Habarini jamani Mimi ni kijana wa miaka 25. Nauliza yoyote mwenye kazi au connection ya kazi za ufundi mechanic. Elimu yangu Ni NTA LEVEL 4 in mechanical engineering. Ni mchapa kazi na pia nipo tayari kijifunza kitu kipya.
 
Habarini jamani Mimi ni kijana wa miaka 25. Nauliza yoyote mwenye kazi au connection ya kazi za ufundi mechanic. Elimu yangu Ni NTA LEVEL 4 in mechanical engineering. Ni mchapa kazi na pia nipo tayari kijifunza kitu kipya.
Nenda Veta kajiendelezee
 
Miaka 25, NTA level 4?
Kiumri na hiyo NTA level, kuna sehemu ulipiga kwata kidogo? Bado unaendelea na shule au umeacha?

NTA level 4 si ni Basic Technician Cert? Ili kukamilisha si ni mpaka level 6?

Una miaka 5 ya kuparanganyika kama uko serious, anza kidogo kidogo mtaani, jifunze kazi za kucheza na vyuma na mbao. Miaka yote hiyo 5 hesabu uko darasani ila kwa kujiongeza sana na kujitofautisha na mazoea yaliyopo!

Kisha, miaka 3 inayofuata piga kazi za kukutangaza, zenye akili, zenye utofauti na mtaani, finishing na design ziwe superby. Kipindi chote hicho hakikisha Uaminifu, Imani kwa Mungu wako, ukweli na muda ndo vinakuwa vitendea kazi vyako vya kwanza.

Miaka miwili inayofuata, wekeza kwenye technology, tools za maana za kisasa.

Miaka 10 inakuwa imekatika kwa uwezo wa Mungu, basi kwa shani yake, unayaanza maisha at 35.

Ukiweza malizia shule kwanza! Kila la kheri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom