KAZI ZA UDEREVA

KAZI ZA UDEREVA

Joined
Dec 18, 2018
Posts
12
Reaction score
6
MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 2)
CIWAYE TRADING COMPANY Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani ya nchi.

CIWAYE TRADING COMPANY Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, USOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi.

Waombaji wa nafasi hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo wakizingatia vigezo vikuu vilivyotajwa hapa chini;

Umri usiopungua miaka 25 na usiozidi miaka 45

Elimu ya kidato cha nne na kuendelea

Cheti cha ujuzi wa udereva wa magari kinachotambulika na police Tanzania pamoja na wasimamizi wengine wote

Cheti kinachomruhusu dereva kubeba mizigo na bidhaa mbalimbali kwa malori

Barua ya uhakiki alama za vidole kutoka polisi

Afya inayostahimili safari zote za ndani ya nchi

Uwezo wa kusoma na kuandika kwa ufasaha

Uzoefu wa kuendesha magari makubwa usiopunuga miaka mitano

Leseni ya udereva yenye sifa ya kuendesha magari makubwa

Awe na uwezo wa kuendesha gari za aina zote ikiwemo malori yenye mfumo wa left hand au right hand

Maombi yote yaletwe ofisini kwetu kuanzia tarehe 26-07-2025 hadi 3-08-2025 kwa njia ya mkono na kukabidhiwa kwa wasimamizi wetu wenye namba hizi +255717148330 /0716896929.

Ofisi zetu zipo Sokota mkabala na sheli ya PUMA, Temeke-Dar es salaam. Maombi yote yaelekezwe kwa anuani hii
CIWAYE TRADING COMPANY LIMITED,
P.O.BOX 2717 DODOMA.
 
Bado nafasi zipo
 
Back
Top Bottom