Waliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa tarehe ya kufanyiwa usahiliHabari wadau. Hivi hakuna update zozote kama tanesco wameita watu kwenye interview zile kazi za miez 12huko Northern zone?.
Tanesco kitengo cha media mtandaoni mpo vizuri. hekoWaliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa tarehe ya kufanyiwa usahili
Madereva usaili wanafanya lini hapo Tanga?Waliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa tarehe ya kufanyiwa usahili
Waliokidhi vigezo wanapigiwa simu na kuambiwa tarehe ya usahili.hatutoi taarifa zote kuepuka walaghai kuzitumia vibaya hivyo kama upo jua utapigiwa simuMadereva usaili wanafanya lini hapo Tanga?
Mkuu vipi wale walioomba southern zone mchakato umefikia wapiWaliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa tarehe ya kufanyiwa usahili
Waliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kuambiwa tarehe ya usahiliMkuu vipi wale walioomba southern zone mchakato umefikia wapi
Mkuu msiseme kuwa hamtoi taarifa zote kuepuka walaghai....sema mnaendesha usahili kwa usiri na vificho ili muweze kuwapatia hizo nafasi ndugu zenu....mbona utumishi huwa wanaendesha zoezi lao kwa uwazi kabisa wanatoa majina walioitwa interview na wanayatangaza hadharani kwenye website yao bila kusahau sehemu ambayo interview itafanyika na muda na mwisho kabisa wanatoa mpaka majina ya walioitwa kazini....inamaana utumishi wenyewe hawataki kuepuka walaghai...mazoezi yanayoendeshwa kwa usiri na vifichovificho sikuzote yana rushwa na upendeleo ndani yakeWaliokidhi vigezo wanapigiwa simu na kuambiwa tarehe ya usahili.hatutoi taarifa zote kuepuka walaghai kuzitumia vibaya hivyo kama upo jua utapigiwa simu
Tuhuma zako zilizojengwa kwa hisia tumezipokea, Waliokidhi wote wamepigiwa simu na majina yamebandikwa ofisi ya Mikoa ya Kanda husika.waliba wote na kukidhi vigezo wamepigiwa simu na kutumiwa ujumbe na zoezi limefanyika kwa uadilifu mkubwa sana.Unapotoa tuhuma za hisia unatusikitisha sana.Tunaomba jina lako na nafasi uliyoomba tukupatie majibu kamili badala ya kututuhumuMkuu msiseme kuwa hamtoi taarifa zote kuepuka walaghai....sema mnaendesha usahili kwa usiri na vificho ili muweze kuwapatia hizo nafasi ndugu zenu....mbona utumishi huwa wanaendesha zoezi lao kwa uwazi kabisa wanatoa majina walioitwa interview na wanayatangaza hadharani kwenye website yao bila kusahau sehemu ambayo interview itafanyika na muda na mwisho kabisa wanatoa mpaka majina ya walioitwa kazini....inamaana utumishi wenyewe hawataki kuepuka walaghai...mazoezi yanayoendeshwa kwa usiri na vifichovificho sikuzote yana rushwa na upendeleo ndani yake
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetuTanesco kitengo cha media mtandaoni mpo vizuri. heko
Mkuu ilitakiwa ujibu hivyo kuwa majina ya walioitwa interview yamebandikwa kwenye ofisi za kanda husika yakionesha siku na mahali interview itakapofanyika....na siku nyingine yawekeni mtandaoni sababu kuna watu wameomba hizo kazi na wapo mbali na hizo ofisi zenu za kanda....na kuhusu jina na nafasi niliyoomba kwanza napenda kukufahamisha mi sijalalamika kuwa nimeomba sijaitwa or kuna mtu namfahamu ameomba hajaitwa....mi nimelalamika kwanini mnatangaza nafasi za kazi na hamtoi hadharani majina ya watu mliowaita interview mnawapigia simu kisirisiri ndo umenijibu kuwa majina mmeyabandika kwenye ofisi za kanda husika...kama mnafanya hivyo hakuna tatizo....nitaenda ofisi moja ya kanda iliyotangaza nafasi za kazi mwezi wa nne kuangalia kama kuna majina yamebandikwa ya watu walioitwa interview na nitarudi hapa kuleta mrejeshoTuhuma zako zilizojengwa kwa hisia tumezipokea, Waliokidhi wote wamepigiwa simu na majina yamebandikwa ofisi ya Mikoa ya Kanda husika.waliba wote na kukidhi vigezo wamepigiwa simu na kutumiwa ujumbe na zoezi limefanyika kwa uadilifu mkubwa sana.Unapotoa tuhuma za hisia unatusikitisha sana.Tunaomba jina lako na nafasi uliyoomba tukupatie majibu kamili badala ya kututuhumu
Hivi zile za mbeya kada ya transport officer walishaita?Mkuu ilitakiwa ujibu hivyo kuwa majina ya walioitwa interview yamebandikwa kwenye ofisi za kanda husika yakionesha siku na mahali interview itakapofanyika....na siku nyingine yawekeni mtandaoni sababu kuna watu wameomba hizo kazi na wapo mbali na hizo ofisi zenu za kanda....na kuhusu jina na nafasi niliyoomba kwanza napenda kukufahamisha mi sijalalamika kuwa nimeomba sijaitwa or kuna mtu namfahamu ameomba hajaitwa....mi nimelalamika kwanini mnatangaza nafasi za kazi na hamtoi hadharani majina ya watu mliowaita interview mnawapigia simu kisirisiri ndo umenijibu kuwa majina mmeyabandika kwenye ofisi za kanda husika...kama mnafanya hivyo hakuna tatizo....nitaenda ofisi moja ya kanda iliyotangaza nafasi za kazi mwezi wa nne kuangalia kama kuna majina yamebandikwa ya watu walioitwa interview na nitarudi hapa kuleta mrejesho
Bado mkuu...hawajaita kabisa...niliwauliza TANESCO wakanijibu southern zone bado hawajaanza kuitaHivi zile za mbeya kada ya transport officer walishaita?
Hii ndio jeiefuMkuu msiseme kuwa hamtoi taarifa zote kuepuka walaghai....sema mnaendesha usahili kwa usiri na vificho ili muweze kuwapatia hizo nafasi ndugu zenu....mbona utumishi huwa wanaendesha zoezi lao kwa uwazi kabisa wanatoa majina walioitwa interview na wanayatangaza hadharani kwenye website yao bila kusahau sehemu ambayo interview itafanyika na muda na mwisho kabisa wanatoa mpaka majina ya walioitwa kazini....inamaana utumishi wenyewe hawataki kuepuka walaghai...mazoezi yanayoendeshwa kwa usiri na vifichovificho sikuzote yana rushwa na upendeleo ndani yake
Hahaaah mkuu hata bila hidden ID sikuhizi hatuna haja ya kufichana tunachanana ukweli...uko twitter na instagram mbona tunachanana tu vizuri ili mradi hatuvunji sheria za nchiHii ndio jeiefu
Where we dare to talk openly with hidden id's
Wababaishaji sana nyie watu na ma HR wenu wa northern zone wana majibu ya hovyo sana mnawaweka watu kwenye interview zaidi ya siku 5 hovyo kabisa tanescoTunashukuru sana mpendwa mteja wetu
Na wale tulotuma maombi Kanda ya mikoa ya mbeya sisimba Vp wameishaita wote au bdo!?Waliokidhi vigezo wameshapigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa tarehe ya kufanyiwa usahili
Na wale tulotuma maombi Kanda ya mikoa ya mbeya sisimba Vp wameishaita wote au bdo!?