Kuna jamaa yangu mmoja, alishawahi kuniambia ukiomba kazi sehemu Kama huna mtu, kuipata hiyo kazi ni kwa Neema tu!!
Hii nimeanza kuamini! Mwezi jana Nmb eastern zone walitangaza nafasi za kazi!!!
Nimeomba,but kuna jamaa yangu nimesoma nae darasa moja primary! La kwanza hadi la Saba! Tukakutana tena chuoni mwaka mmoja na kozi Moja!!!
Jamaa yangu kaniambia! Hz nafasi zinawenyewe maana kajaribu kusogeza maneno matamu kwa hr,jibu alilopewa ni kwamba mbona hizi nafasi zinawenyewe??
Halafu ni nafasi tano tu!!!
Jaman kayumba kama sisi tutafanya kazi kwa wahindi hadi lini????