Hapana mkuu hii ni miongoni mwa app ambayo unaweza kuomba kazi duniani kulingana na ujuzi wako na ukipata kazi hiyo unaweza kuifanya popote pale uliopo

Mkuu nimependa kushare mwenye uhitaji afanye ,hizi links nikapa vile unavyoona ajira portal tu ila hizi ni za International jobs na zina kazi mbalimbali hivyo ukiomba kama utapata unaweza kufanya job hiyo hata kama ukiwa tz

Asante kwa taarifa.
Maelekezo yapo simple sana kuna wengi hawana ufahamu kuhusu hizo kazi.Msaada maelekezo zaidi.
Mfano mimi nina skills za kufanya translation English-Swahili japo sina document/vyeti kuthibitiaha hilo.
Ukishafungua account hatua mpaka unapata kazi ya kwanza ni vitu gani unavifanya.
Natanguliza shukran zangu.