pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,589
- 14,681
Panda gari mpaka mbagala rangi 3 ukifika panda gari za mkurunga mwambie akushushe yebo yebo au unaweza ukapanda gari za kisemvule ukatembea sio mbali sanamaelekezo jinsi ya kufika natokea mbezi
Panda gari mpaka mbagala rangi 3 ukifika panda gari za mkurunga mwambie akushushe yebo yebo au unaweza ukapanda gari za kisemvule ukatembea sio mbali sanamaelekezo jinsi ya kufika natokea mbezi
Wanalipaje hawa CelloKuna kiwanda kiko keko _chang'ombe kinaitwa CELLO nenda pale utaonana na mlinzi muombe utaratibu ila kumbuka mwisho wa siku watakudai elfu ishirini ili uingie huko uanze kazi.
Malipo ni kwa week .
Chakula cha mchana kipo
Ni watengenezaji wa viti na meza za plastic
Sent using Jamii Forums mobile app