hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
habari wakuu. samahani nauliza kwa anayefahamu mshahara wa mfanyakazi wa kawaida (mpishi, dobi, mfanya usafi e.t.c) kwenye camps za watalii (national park's) anijuze please
Inategemea na kampuni, ila nyingi huwa wanaanzia 180