Kazi Za BoT

Kazi Za BoT

Mashoo Mashoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
375
Reaction score
105
Habari!
Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi za BoT zilizotangazwa
mwezi wa kumi na moja mwaka jana? :confused2:
 
Mh, kama wewe cyo mtoto wa kigogo sahau
 
Mkuu nadhani bado wanaendelea kuchambua usiwe na wasiwasi kama ipo ipo tu hatawafanyeje cha msingi ni kumuomba Mora afanye njia.Goodluck
 
kuna jamaa mmoja anajamaa yake huko kasema kuna applications nyingi sana ila ndo et wameanza kuzifanyia kazi na inasemekana walilengwa graduate but wameaply masters kibao muachie bwana yesu, bwana kama katupangia huko atapata if not take easy.nc tym
 
Mh, kama wewe cyo mtoto wa kigogo sahau
Acha kupotosha na kutishia watu wewe poyoyo, unaishi kwa kukariri badala ya kutafuta ukweli. Mi nawashauri watu wote walioomba hizo kazi wawe wavumilivu, kama ambavyo mngetarajia, maombi ya kazi yalikuwa mengi sana na kumbukeni ilikuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka hivyo taratibu za uchambuzi na hatimaye kuita wasailiwa zinaendelea na huenda zikachukua muda mrefu kidogo. Ila cha kuwatia moyo tu ni kwamba, kati ya Taasisi zilizoboresha mifumo yao hasa ya ajira ni BoT, hapo kigogo wa kukubeba ni vyeti na performance yako katika usaili tu, hakuna muujiza, rushwa wala ubin! Hebu jiulizeni nyie mnaodanganywa eti ile ni sehemu ya watoto wa vigogo, ukichunguza ni asilimia ngapi ya wafanyazi wa BoT ni watoto, ndugu, marafiki au wana nasaba na hao vigogo mnaowasema? Hivi mnajua Bo Tina wafanyakazi wangapi jumla, na kati yao watoto wa vigogo ni wangapi? Na je, Benno Ndulu ni mtoto wa kigogo gani wa nchi hii? Hebu tumieni akili japo kidogo kufikiri!

Uliyosema ni kweli tupu. Nna ndugu yangu ni bosi pale kaniambia siku hizi mfumo umebadilika ni haki tupu. Kaniambia nijipange na kuomba Mungu thats all hakuna vimemo
 
Acha kupotosha na kutishia watu wewe poyoyo, unaishi kwa kukariri badala ya kutafuta ukweli. Mi nawashauri watu wote walioomba hizo kazi wawe wavumilivu, kama ambavyo mngetarajia, maombi ya kazi yalikuwa mengi sana na kumbukeni ilikuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka hivyo taratibu za uchambuzi na hatimaye kuita wasailiwa zinaendelea na huenda zikachukua muda mrefu kidogo. Ila cha kuwatia moyo tu ni kwamba, kati ya Taasisi zilizoboresha mifumo yao hasa ya ajira ni BoT, hapo kigogo wa kukubeba ni vyeti na performance yako katika usaili tu, hakuna muujiza, rushwa wala ubin! Hebu jiulizeni nyie mnaodanganywa eti ile ni sehemu ya watoto wa vigogo, ukichunguza ni asilimia ngapi ya wafanyazi wa BoT ni watoto, ndugu, marafiki au wana nasaba na hao vigogo mnaowasema? Hivi mnajua Bo Tina wafanyakazi wangapi jumla, na kati yao watoto wa vigogo ni wangapi? Na je, Benno Ndulu ni mtoto wa kigogo gani wa nchi hii? Hebu tumieni akili japo kidogo kufikiri!

Endelea kujidanganya na umbulula wako then mwisho wa siku utaniielewa:A S wink:
 
Me sehemu kama hizo huwa siombi kazi maana napoteza tu hera yangu najua zina wenyewe
 
Acha kupotosha na kutishia watu wewe poyoyo, unaishi kwa kukariri badala ya kutafuta ukweli. Mi nawashauri watu wote walioomba hizo kazi wawe wavumilivu, kama ambavyo mngetarajia, maombi ya kazi yalikuwa mengi sana na kumbukeni ilikuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka hivyo taratibu za uchambuzi na hatimaye kuita wasailiwa zinaendelea na huenda zikachukua muda mrefu kidogo. Ila cha kuwatia moyo tu ni kwamba, kati ya Taasisi zilizoboresha mifumo yao hasa ya ajira ni BoT, hapo kigogo wa kukubeba ni vyeti na performance yako katika usaili tu, hakuna muujiza, rushwa wala ubin! Hebu jiulizeni nyie mnaodanganywa eti ile ni sehemu ya watoto wa vigogo, ukichunguza ni asilimia ngapi ya wafanyazi wa BoT ni watoto, ndugu, marafiki au wana nasaba na hao vigogo mnaowasema? Hivi mnajua Bo Tina wafanyakazi wangapi jumla, na kati yao watoto wa vigogo ni wangapi? Na je, Benno Ndulu ni mtoto wa kigogo gani wa nchi hii? Hebu tumieni akili japo kidogo kufikiri!

Benno Ndulu ni mtoto wa kigogo mmoja wa Kipogoro huko Ifakara!!!
 
Back
Top Bottom