Kazi za barabarani roho mkononi

Kazi za barabarani roho mkononi

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj

Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65%
Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50%

Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa.
Sio KAZI ambayo mtu anaweza kufanya na kutengeneza maisha.

Binafsi nipo kwenye kazi hiyo tajwa hapo juu ila sina mapenzi na KAZI hii kwasababu za hatari zake.

Tangu nimeanza KAZI hii nimeshuhudia ajali 7 za bodaboda wote wamekufa na kukatika viungo vya mwili.

Bajaj ajali nimeshuhudia 5 madereva wamekufa.

Mimi pia nimewai kupata ajali ila Mungu alininusuru.

Binafsi Nina miezi 3 tu iliobaki kwenye KAZI hii kichaa yenye laana na umasikini, ntaiacha nitafute harakati nyingine.

Unaweza kuzingatia alama zote za barabarani na speed nzuri tu ila mtu akaja kalewa akakuvunja kiuno.

Unaweza kubutuliwa ukafa na faini ni 75k tena hata wiki aiishi umesahaulika.

Nina miezi Mitatu kufanya KAZI barabarani kama sitokufa na kupata ajali sitorudi tena barabarani.

Barabarani ni hatari madereva wapo kwenye risk 90% kwasababu wanashinda barabarani tofauti na wewe unaenda kazini na kurudi.

Matusi ruksa
 
Ndo iliyokupa bando la kupost humu ama una kazi nyingine bwashee?? Binafsi ninaona ni mungu ndiye anatulinda humo njiani lakini risk ni kubwa sana huwa nikipanda gari naanza kuwaza what if madereva wote wangekua wehu tungekufa kama kuku aloo😀
 
Ndio hivyo hapo bado ushirikina umekaa barabarani
 
Ajali nyingi za boda ni kutoeshimu sheria za barabara. na kutokuwa wangalifu.

Mtu anaendesha bodaboda hana sidemirror, Mtu anaamini kupiga honi( ili apishwe) ndo sahihi kuliko kusimama au kufunga breki.
Barabara nyingi Dar ni Double rood hivyo ajali sio za uso kwa uso ni ajali za wanyuma kumvaaa wa mbelee.
Ila boda hamsimamii zebra hamsimami mataa na ubaya zaidi hampitii hizo sehemu kwa mwendo wa taadhari( mnakuja wangu wangu(speed kama zote))

Hizo ajali hata sisi tunazishihudia ila ni uzembe mkubwa sana mlokuwa nao.

Juzi segerea vijana watatu wamepakizana wamekuja na speed kama yote, kwenye kona ya T wakavaa gari nakuburuzwa (Hebu fikiria kona ya T mtu unakujaje na speed alafu mko mshikaki bado wamefunga maspika yanapiga kelele hawaezi skia hata sauti)

Kuna wazee wako na hiyo kazi miaka kumi na wanafanya kwa umakini na hawajawahi pata mkwaruzo.
 
Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj

Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65%
Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50%

Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa.
Sio KAZI ambayo mtu anaweza kufanya na kutengeneza maisha.

Binafsi nipo kwenye kazi hiyo tajwa hapo juu ila sina mapenzi na KAZI hii kwasababu za hatari zake.

Tangu nimeanza KAZI hii nimeshuhudia ajali 7 za bodaboda wote wamekufa na kukatika viungo vya mwili.

Bajaj ajali nimeshuhudia 5 madereva wamekufa.

Mimi pia nimewai kupata ajali ila Mungu alininusuru.

Binafsi Nina miezi 3 tu iliobaki kwenye KAZI hii kichaa yenye laana na umasikini, ntaiacha nitafute harakati nyingine.

Unaweza kuzingatia alama zote za barabarani na speed nzuri tu ila mtu akaja kalewa akakuvunja kiuno.

Unaweza kubutuliwa ukafa na faini ni 75k tena hata wiki aiishi umesahaulika.

Nina miezi Mitatu kufanya KAZI barabarani kama sitokufa na kupata ajali sitorudi tena barabarani.

Barabarani ni hatari madereva wapo kwenye risk 90% kwasababu wanashinda barabarani tofauti na wewe unaenda kazini na kurudi.

Matusi ruksa
Bodaboda wa mama mnakufa kama sisimizi na mnatumika kama kondomu, hivi yule kiongozi wenu naye ni dereva? Maana angekuwa alishakufa,hamna tofauti na walioko Gaza
 
Ndo iliyokupa bando la kupost humu ama una kazi nyingine bwashee?? Binafsi ninaona ni mungu ndiye anatulinda humo njiani lakini risk ni kubwa sana huwa nikipanda gari naanza kuwaza what if madereva wote wangekua wehu tungekufa kama kuku aloo😀
Kama mkurugenzi wa Tanesco kafa aheshimu barabara zina mengi
 
Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj

Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65%
Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50%

Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa.
Sio KAZI ambayo mtu anaweza kufanya na kutengeneza maisha.

Binafsi nipo kwenye kazi hiyo tajwa hapo juu ila sina mapenzi na KAZI hii kwasababu za hatari zake.

Tangu nimeanza KAZI hii nimeshuhudia ajali 7 za bodaboda wote wamekufa na kukatika viungo vya mwili.

Bajaj ajali nimeshuhudia 5 madereva wamekufa.

Mimi pia nimewai kupata ajali ila Mungu alininusuru.

Binafsi Nina miezi 3 tu iliobaki kwenye KAZI hii kichaa yenye laana na umasikini, ntaiacha nitafute harakati nyingine.

Unaweza kuzingatia alama zote za barabarani na speed nzuri tu ila mtu akaja kalewa akakuvunja kiuno.

Unaweza kubutuliwa ukafa na faini ni 75k tena hata wiki aiishi umesahaulika.

Nina miezi Mitatu kufanya KAZI barabarani kama sitokufa na kupata ajali sitorudi tena barabarani.

Barabarani ni hatari madereva wapo kwenye risk 90% kwasababu wanashinda barabarani tofauti na wewe unaenda kazini na kurudi.

Matusi ruksa
Tujitahidi kufata sheria za huko barabarani
 
Ajali HAZIPANGWI na Mungu, umekosea sana. Ajali zinatokea kwa sababu ya binadamu kutokuwa makini na kukiuka kanuni na sheria.
 
Back
Top Bottom