Kazi yoyote nafanya

Kama unawez kuzungusha kiuno kikatoa upepo unsowez kukausha jasho au kuzima mishumaa njoo imbox
 
Hii elimu ya kurithi kwa Mkoloni ndiyo maana tuliikataa. Haiwezekani mtu unamaliza mpaka chuo kikuu halafu unajikuta huna thamani yoyote ile mtaani.

Pole sana kijana. Mungu ni mwema, atakuonesha njia yako ya mafanikio.
 
Kuna cargo ya kushusha semi za cement kwenye warehouse flani,semi ziko 6 utaweza mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…