Kazi yangu haina maslahi kabisa, lakini kila siku naamka alfajiri kuwahi kazini

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,661
21,639
FB_IMG_1492446998148.jpg
 
Kwa kweli hao jamaa hapo kwenye picha huwa nashindwa kuelewa wanaendeshaje maisha.

Kuna wengine unakuta biashara yake ni kuuza manati!
 
kwa mtindo huu sintakaa nimruhusu mke wangu aende kupaka rangi kucha otherwise muosha kuja aje na amuoshe nikiwa namuona ili akizingua nimshishie kombora nuclear hapo hapo...tofauti na hapo ni marufuku kupaka rangi kucha!!

NI AMRI NA SIO OMBI

BY UTAWALA!
 
Mwanamke hachungiki
 
Back
Top Bottom