Chunvi mara zote kwenye mboga haikosi lawama,ikizidi utasikia chunvi imezidi! Ikipungua chunvi kidogo! Usipoiweka ndo kabisa zogo! Ualimu sasa umeshakua karaha tupu hivi sasa wanafunzi wakifaulu kwa wingi utackia raia wakisema wlm wamewaonesha majibu,wakifeli wengi utackia walimu siku hizi hawafundishi kabisa he! Mwl jijue we2 ni km CHUNVI fanya tu kazi zako lkn lawama kwako ni sehemu ya maisha yako na mshahara wako ni mdogo km bei ya CHUNVI pole sn Mwl.