ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 664
Anatumikia makosa yake.. Anajuta kimyakimyaImagine unatakiwa kwenda kuwatawanya watu wasikusanyike kwenye Kanisa la ufufuo na uzima wakati na wewe ni muumini wa hapo hapo. Pole sana kaka yangu, nilikuambia twende ualimu ukakataa. Ona sasa!
Hivi wao hawana mgongano wa kimaslahi?Imagine unatakiwa kwenda kuwatawanya watu wasikusanyike kwenye Kanisa la ufufuo na uzima wakati na wewe ni muumini wa hapo hapo. Pole sana kaka yangu, nilikuambia twende ualimu ukakataa. Ona sasa!