๐™†๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™œ๐™ค๐™ฃ๐™ค ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฅ๐™–๐™จ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™– ๐™๐™–๐™ก๐™–๐™ก๐™ž

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,727
Reaction score
2,548
Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni.
Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake?
Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa.

Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au usimamizi- lakini kwa document sahihi tu na mikataba iwe na manufaa, saa za kazi zilizowekwa/likizo za kulipwa na wakilipwa mshahara wa kila mwezi.
Kuwe pia na Ukaguzi wa mara kwa mara wa afya za wafanyakazi ili kuepusha magonjwa. Serikali pia iwape Wafanyabiashara ya ngono ulinzi na kuhakikisha haki zao zinazingatiwa mf. malipo.

Ninamaanisha -Iitwe KAZI ya ngono.

Baada ya yote, serikali pia itakusanya kodi(๐Ÿคฃwasitusumbue na tozo)
Matukio ya ubakaji yataisha
Afya itakua imezingatiwa kwenye biashara hii...nk

Nawasilisha^
 
Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni.
Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake?
Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa.

Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au usimamizi- lakini kwa document sahihi tu na mikataba iwe na manufaa, saa za kazi zilizowekwa/likizo za kulipwa na wakilipwa mshahara wa kila mwezi.
Kuwe pia na Ukaguzi wa mara kwa mara wa afya za wafanyakazi ili kuepusha magonjwa. Serikali pia iwape Wafanyabiashara ya ngono ulinzi na kuhakikisha haki zao zinazingatiwa mf. malipo.

Ninamaanisha -Iitwe KAZI ya ngono.

Baada ya yote, serikali pia itakusanya kodi([emoji1787]wasitusumbue na tozo)

Mawazo mazuri ila yamejaa upotovu Mungu atusaidie vijana wako wanaangamia
 
Mlete mdhungu....[emoji28]
JamiiForums-1448551999.jpg
 
Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni.
Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake?
Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa.

Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au usimamizi- lakini kwa document sahihi tu na mikataba iwe na manufaa, saa za kazi zilizowekwa/likizo za kulipwa na wakilipwa mshahara wa kila mwezi.
Kuwe pia na Ukaguzi wa mara kwa mara wa afya za wafanyakazi ili kuepusha magonjwa. Serikali pia iwape Wafanyabiashara ya ngono ulinzi na kuhakikisha haki zao zinazingatiwa mf. malipo.

Ninamaanisha -Iitwe KAZI ya ngono.

Baada ya yote, serikali pia itakusanya kodi([emoji1787]wasitusumbue na tozo)
Matukio ya ubakaji yataisha
Afya itakua imezingatiwa kwenye biashara hii...nk

Nawasilisha^
Vijana acheni kunywa K vant, zinaharibu akilia aisee
 
Umewaza nini mkuu mpaka kutaka hii dhambi iwe halali?
Matukio ya watu kupigwa miaka 30 au kifungo cha maisha jela yamekua mengi.
Ni mawazo ya kutafuta mwarobaini.
Kama mtu anavaa kujisitiri hata km maskini, pia haez kukosa wa kumpooza ingekua halal
 
Back
Top Bottom